Utajiri unaotolewa na Mwakipande

Mmeona?, ni utajiri pamoja na mateso na kifo. Na ukifa sahau kwenda Mbinguni.
Usiwe unakurupikia vitu mzee....kuna utajiri ambao hauna mwisho mbaya au kutoa damu za watu na una jina lake kabisa...nilipataga bahat ya kuongea na mzee mmoja kutoka nchi ya huko west Africa alinieleza kila kitu kuhusu aina za ndumba za utajiri na madhara yake au masharti yake...hao inawezekana walichukua inayoitwa "G.........a"(naomba niisitaje) ambayo mzee alikua ananionya sana nisiijaribu kuifanya mana mwisho wake ni mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaah kuna siku natoka zangu disco alfajir pale mafinga tunarudi town tulipanda coaster kuna mzee ilipofika zamu yake kulipa kijiti kikadondoka kikageuka ka binaadamu kadogodogo kana bonge la afro na kamevaa pensi ya zambarau na kananuka hatari, kisha akaanza kuweweseka abiria fumbeni macho kum***zake...
Wewe ni mwongo. Hii kitu ilitokea zaidi ya miaka 20 iliyopita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwe unakurupikia vitu mzee....kuna utajiri ambao hauna mwisho mbaya au kutoa damu za watu na una jina lake kabisa...nilipataga bahat ya kuongea na mzee mmoja kutoka nchi ya huko west Africa alinieleza kila kitu kuhusu aina za ndumba za utajiri na madhara yake au masharti yake...hao inawezekana walichukua inayoitwa "G.........a"(naomba niisitaje) ambayo mzee alikua ananionya sana nisiijaribu kuifanya mana mwisho wake ni mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna utajiri unaopatikana kimazingara usio mbaya. Ni yale yale tu yanapewa majina tofauti, kama siyo wewe mwenyewe uweke rehani maisha yako basi utaweka ya ndugu, mtoto etc

Nasema hivyo kwasababu nafahamu hayo mambo yanavyofanya kazi. Hakuna kitu kizuri cha bure.
 
Wewe ni mwongo. Hii kitu ilitokea zaidi ya miaka 20 iliyopita

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo iringa? Tukio hili siku linatokea tumetoka kupiga disco mafinga na nilikuwa mmoja wa abiria ndani ya coaster na gari ilipelekwa mpaka iringa mjini pale kituo kikubwa nakumbuka vizuri ilikuwa kati ya mwaka 2003 au 2004, na hata waandishi wa habari walikuwepo pale na kamanda akasema serikali haiamini ktk ushirikina kale kajaa kalikuwa kanakula nazi, kumbuka kituo kikuu kipo karibu na soko kuu pale town. Naomba niambie uongo wangu uko wapi...pia kwa kuweka kumbukumbu sawa mwaka 2003 tayri wengine tunajitegemea, hivyo kumbukumbu zangu ziko sahihi kabisa
 
Mkoani Iringa kwenye wilaya ya Njombe kuna mtu anaitwa Mwakipande ambaye alijulikana sana kwa kutoa utajiri mkubwa kwa kila aliyetaka kuwa tajiri mradi amudu masharti yake. Ingawa bwana huyu Mwakipande nasikia amekufa shughuli zake zinaendelezwa na mtoto wake ambaye nasikia anaendelea kugawa utajiri kwa vijana hususani wakinga na wabena ambao wanakuwa matajiri wakubwa katika kipindi kifupi cha chini ya mwaka mmoja.

Miongoni mwa watu/kampuni/biashara nilizopata fununu kuwa zinatokana na miujiza ya mwakipande ni

Sayuni mmiliki alikuwa akiitwa Mahenge-biashara ya mabasi Dar-Mbeya
Kiswele-biashara ya mabasi Dar-Mbeya
Jah people-Malori-mmiliki ni mbunge wa ccm
Widambe-Mabasi Njombe-Dar
Igesa line n.k

Swali langu ni jeh huyu Mwakipande ni kweli anagawa huo utajiri?
Hukohuko si ndiko watoto wanapotea na kufanyiwa ukatili kila siku?
 
Hii ya kutaja kampuni na majina ya watu kwa maoni yangu haijakaa sawa . ukiambiwa uthibitishe kuwa walitumia hizo dawa kupata utajili utatuthibitishia pasi na shaka kweli?
 
Upo iringa? Tukio hili siku linatokea tumetoka kupiga disco mafinga na nilikuwa mmoja wa abiria ndani ya coaster na gari ilipelekwa mpaka iringa mjini pale kituo kikubwa nakumbuka vizuri ilikuwa kati ya mwaka 2003 au 2004, na hata waandishi wa habari walikuwepo pale na kamanda akasema serikali haiamini ktk ushirikina kale kajaa kalikuwa kanakula nazi, kumbuka kituo kikuu kipo karibu na soko kuu pale town. Naomba niambie uongo wangu uko wapi...pia kwa kuweka kumbukumbu sawa mwaka 2003 tayri wengine tunajitegemea, hivyo kumbukumbu zangu ziko sahihi kabisa
Kumbe we muhenga, nilijuaga upo kwenye early 20s ndio maana nikasema we mwongo samahani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ya kutaja kampuni na majina ya watu kwa maoni yangu haijakaa sawa . ukiambiwa uthibitishe kuwa walitumia hizo dawa kupata utajili utatuthibitishia pasi na shaka kweli?
Nimezingatia na kufuta. Asante
 
Usiwe unakurupikia vitu mzee....kuna utajiri ambao hauna mwisho mbaya au kutoa damu za watu na una jina lake kabisa...nilipataga bahat ya kuongea na mzee mmoja kutoka nchi ya huko west Africa alinieleza kila kitu kuhusu aina za ndumba za utajiri na madhara yake au masharti yake...hao inawezekana walichukua inayoitwa "G.........a"(naomba niisitaje) ambayo mzee alikua ananionya sana nisiijaribu kuifanya mana mwisho wake ni mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
HIVYO KUNA NYENGINE MWISHO WAKE MZURI??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UTAJIRI WA NGUVU ZA GIZA UPO! NA UNAFANYA KAZI NA NIMETHIBITISHA KABISA HILO! ILA UNAHITAJI UWE NA ROHO NGUMU, SASA KAMA KWELI UNA ROHO NGUMU NIINBOX NIKUPE DIRECTION KUNA SEHE Tn

UTAJIRI WA NGUVU ZA GIZA UPO! NA UNAFANYA KAZI NA NIMETHIBITISHA KABISA HILO! ILA UNAHITAJI UWE NA ROHO NGUMU, SASA KAMA KWELI UNA ROHO NGUMU NIINBOX NIKUPE DIRECTION KUNA SEHEMU TANGA
Naomba namba yako
 
Back
Top Bottom