The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,003
- 3,269
Just imagine sample inachukuliwa kutoka kwa hadhara ya mikutano ya kampeni ya JK na CCM yake.
tupe wako halafu tukutane novemba mazee,acheni kulialia na ninyi si m publish poll zenu za JF ambazo zinaonesha wa kwenu ana 90%.utabiri wa shehe yahya,synovate na redet ni sawasawa! wakati shehe anatumia nguvu za giza kutabiri, synovate wanatumia nguvu ya fedha na redet nguvu ya watawala!!!!
Utabiri wa wengi ni kwamba Waaminio mizimu hawatauona ufalme tena.
mwaka 2005, mkwere alikuwa chaguo la mungu, sasa amekuwa chaguo la she yahya, nguvu za giza.
shauri yao na utafit wao sisi tuko mara tunachanja mbuga.
Chadema tuko juuu sana.
Kuna taarifa kuwa Synovate wapo njiani kutoa matokeo ya maoni ya watanzania kuhusiana na uchaguzi 2010.
Wasiwasi wangu ni kuwa bado watatumia sampuli ya watu 1,000 - 2,000 ambapo huenda wasipate uhalisia wa mambo ingawa report yao itaweza kutumiwa na baadhi ya wagombea kisiasa. Kwakuwa sijajua nini kitaongelewa basi fuatilia comments chini...
Tutarajie nini?
Kwa namba ya wapiga kura nchini na kama watatumia sample ya 1000 to 2000 nadhani haitakuwa na uwakilishi mzuri be it in favor of upinzani or tawala!
Labda kwenye report yao wataeleza sample ilikuw aya watu wangapi, maeneo walipofanyia utafiti, aina ya maswali etc. Itapendeza sana kama watatoa report yao live ili maswali yaweze kuulizwa