Utafiti wa RAI: CCM kushinda Arumeru kwa asilimia 61%

Pokea kwa mikoni miwili Utafiti wa Rai mkuu.

Mkuu wangu baada ya propaganda ya wazee wa mila wa kishiri kufa haraka kuliko ilivyotarajiwa mtaibuka tena na propaganda ya udini kama Igunga na Uzini?
 
Mkuu huoni pia kwamba ni maandalizi ya kuchakachua kura?
Naamini si rahisi sana kura kuchakachuliwa safari hii, haya matokeo hayapelekwi NEC-Dar yanatangazwa palepale, wanachoweza CCM kukifanya ni kununua kadi basi, na kadi za kununua zinasaidia palipo na uncertainty margin kama Igunga, inasaidia palipo na difference ndogo, kwa vile sidhani kama unaweza kununua zaidi ya kadi 5,000. Tumeona mbinu hii haikufanikiwa Ubungo, haikufanikiwa Arusha mjini kwa vile difference ilikuwa kubwa nafikiri haitafanikiwa AM pia.
 
Wapenzi wa CDM ni wengi, lakini wenye shahada za kupigia kura siyo wengi kama CCM.
 
Naamini si rahisi sana kura kuchakachuliwa safari hii, haya matokeo hayapelekwi NEC-Dar yanatangazwa palepale, wanachoweza CCM kukifanya ni kununua kadi basi, na kadi za kununua zinasaidia palipo na uncertainty margin kama Igunga, inasaidia palipo na difference ndogo, kwa vile sidhani kama unaweza kununua zaidi ya kadi 5,000. Tumeona mbinu hii haikufanikiwa Ubungo, haikufanikiwa Arusha mjini kwa vile difference ilikuwa kubwa nafikiri haitafanikiwa AM pia.

Mkuu uchambuzi wako uko makini,so tutegemee nini Arumeru Mashariki?
 
Hv Rai mmiliki ni nani kwa sasa!sidhani kama Jenerali Umwengu bado ana mkono huko!shame on them!ili gazeti nahisi Rostam ana mkono wake humo,na huyu mtu anaeitwa Bashe ambao wote ni team moja na E.Lowassa
 
Wapenzi wa CDM ni wengi, lakini wenye shahada za kupigia kura siyo wengi kama CCM.
 
Jamani Rai ni gazeti huru lina haki kufanya tafiti zake na kuandika wanachokiamini kama wanavyofanya Tanzania Daima.

Nakumbuka hata kwenye uchaguzi wa Igunga RAI walifanya tafiti zao wakasema CCM itashinda na kweli wakashinda.

Muanzisha huu uzi unatakiwa uwe mvumilivu sio upende kuona Chadema inasifiwa na kila mtu.

Humu JF kumekuwepo na tafiti za Chadema kushinda Kigamboni, Chadema kushinda Arumeru, Wameru wanamtaka Nassari kuwa mbunge wao.

Sababu za kuifanya CCM kuanguka Arumeru, kwenye tafiti zote hizo ulikuwa mstari wa mbele kuchangia na kukubaliana na tafiti hizo.

Leo Gazeti la Rai wanatoa utafiti wao unalia lia.
Sawa ni utafiti kwa vile hata mimi naweza kusema nina utafiti wangu, lakini lazima nionyeshe kweli nimefanya utafiti.

Labda wanaweza kutuambia wamefanya lini kwa vile hadi jumamosi iliyopita mgombea wa CCM alikuwa hajulikani au wao walikuwa wanamjua kabla? Sioi amejulikana kuwa mgombea nafikiri jumapili na gazeti hili nafikiri limechapishwa kama si jana juzi jumanne. Sasa sijui lakini maana ya utafiti wanaosema au ni visibility study au maoni ya RAI, maana utafiti una procedures zake hadi uitwe utafiti.
 
Gazeti hili limeandika Pia juu ya Watanzania waliofariki kutoka na Mgomo Wa Kwanza Wa Madaktari wanadai watu 216
 
Cha msingi ni wananchi kuwa makini na mtu wanayemchagua na kuhakikisha kuwa hawahujumiwi kura zao kwa namna yoyote ile kwani kumchagua kiongozi wanayeona kuwa anawafaa ni haki yao na ni uhuru wao.As for CCM kushinda kwa asilimia 61, no research no right to speak, watuambie wametumia vigezo gani kufanya hivyo...hizo pia ni mbinu za kuwakonga watu nyoyo zao ili waweze kuichagua CCM psychologically thinking kuwa tayari wameshaonyesha ishara ya kushinda kitu ambacho sio kweli.Otherwise, all the best...
 
Msibeze tafiti, ila kidogo kuna tofauti maana gazeti la moja maarufu lenyewe limesema watashinda kwa 61.8%. tofauti ndogo sana ya 0.8%. lets wait ............
 
CCM na CHADEMA ni sawa na Yanga na PAN. hata siku moja PAN hamcheki Yanga kufungwa na SIMBA! wewe angalia tuu suala la katiba jinsi CDMA walivyoisaliti nchi na umma wa kitanzania. na mpaka leo hakieleweki kitendawili cha katiba. hivyo wao wataamu tuu nani achukue huku aruumeru mashariki.
Wewe kichwa maji kweli ni usaliti gani cdm walioufanya kwa wananchi kama sio uzandiki unaleta hapa? Wananchi wamefuatilia kwa makini na wanajua kazi kubwa iliyofanywa na cdm mpaka kufikia hatua hii ya sasa
 
Back
Top Bottom