KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,590
- 4,603
Kunapofuka Moshi moto unawaka na dalili ya mvua ni mawingu, wahenga walisema. Rais Samia anakubalika, anapendwa na anahitajika mno na watanzania na watanzania watafanya juu chini kumheshimisha. Nasema haya Sasa ili kukae tukijua kwenye akili zetu kwamba CCM ni jabali.
Tumeshuhudia ushindi wa kishindo uliopata CCM kwenye uchaguzi mdogo na hii ni wingu lenye dalili ya mvua ya ushindi uchanguzi ujao wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
Huu ni ushauri Kwa wote wenye kuelewa na kusikia Kwa sababu wananchi wameamua kufanya kweli kwenye chaguzi zijazo, CCM itashinda Kwa kishindo, Rais Samia atavunja rekodi ya ushindi aliopata JPM 2020 ni vema upinzani ikapambana na Ubunge na udiwani na uchaguzi wa Serikali za mitaa ,Rais Samia aachwe awe mgombea pekee wa urais.