The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,072
Mwenda pole ndio mla nyama lolHunsinyo, wewe ni He au She? I hope hili swali halitokukwaza...btw, umefikiria kina kweli kweli kwenye hii thread..Kazi kwa watafutaji)
Mwenda pole ndio mla nyama lolHunsinyo, wewe ni He au She? I hope hili swali halitokukwaza...btw, umefikiria kina kweli kweli kwenye hii thread..Kazi kwa watafutaji)
Mwenda pole ndio mla nyama lol
Kweli kazi kwetu wasakaji........he he !.Hunsinyo, wewe ni He au She? I hope hili swali halitokukwaza...btw, umefikiria kina kweli kweli kwenye hii thread..Kazi kwa watafutaji)
Sasa BJ ulifikiri kwa hili bandiko la Husninyo nitaacha kukupigia misele hebu kaangalie nimetembelea profile yako mara ngapi lol ndio ujue nini namaanisha lol halafu kumbe sijawahi kukutumia PM ngoja nianze mdogo mdogoNimebaki kama tubelight najaribu kuwaka waka bila mafanikio...umemaanishaje?lol
Haya endelea kupambana mpaka kielewe au siyo) Hunsinyo katupa madesa kidogo!!
Kutafuta mpenzi mtandaoni ni suala ambalo linaonekana la ajabu mbele ya akili za watu. Ajabu zaidi ni pale unapotaka jambo hilo lifanikiwe ndani ya siku hiyo hiyo.
Watu tunaoingia mitandaoni ndio sisi sisi tunaoishi mitaani.
Mitandaoni ni namna nyingine ya kuonana na watu ingawa sio ana kwa ana.
Najua humu wapo watu single wanaojiheshimu na ambao wangehitaji mume/mke wa ukweli lakini namna ya kufikisha hitaji lao huwa ni utata, wengine hufikiria wataonekanaje, wengine huofu endapo hawatofanikiwa lengo lao watakuwa wamepoteza muda.
KWA WANAUME:
kama ungependa kupata mchumba JF usifanye haraka. Humu tunajuana kwa michango tunayotoa. Kwa kiasi fulani unaweza kujua fulani ana tabia fulani inayokuvutia. Jaribu kujenga mazoea. Unaweza kumuadd as a friend then ukawa unaMPM kumsalimia, akitoa threads zake changia kadri uwezavyo, ukimkosa online kwa siku kadhaa kavisit profile yake. Akirudi ataona jina lako ni mmoja wa aliyevisit profile lake.
Hayo yote ni kujenga ukaribu na kumjua vizuri mwenzio kabla hujaamua kurusha ndoano.
UkiMPM epuka kumdadisi sana mambo yake binafsi, epuka kutanguliza namba ya simu katika hatua za awali na epuka kuongelea mapenzi.
Kama kweli una nia usikurupuke. Ukikurupuka hata sisi tunastuka.
NB: sijamaanisha mtu anayefanya niliyoyataja anatafuta uchumba.
Nawasilisha.
Kweli kazi kwetu wasakaji........he he !.
Sasa BJ ulifikiri kwa hili bandiko la Husninyo nitaacha kukupigia misele hebu kaangalie nimetembelea profile yako mara ngapi lol ndio ujue nini namaanisha lol halafu kumbe sijawahi kukutumia PM ngoja nianze mdogo mdogo
Sasa hizo hints inabidi tuzitumie tuone kama zitazaa matunda....he he..mmeshapewa 'hints' sasa kazi kwenu kabisaa..ha ha
Hahahahahahahahaha! i like thisAaaaah? naona mada nyingine zinalenga watu fulani, au mshajua fulani anamuapproach fulani?au wewe muanzisha mada tayari kuna mshefa kajilengesha?nakushauri kama umeshaolewa mpe jibu sahihi mapemaaaaaaa!kwani kuna wanaume wengine wana maneno matamu,waweza ikana ndoa yako hivihiviiiiiiiiiiiiiiiiiiii! lakini kama bado hujaolewa si vibaya kuwa hata na wanaume kumi wanaokuaproach na usiwajibu vibaya nenda nao tartiiiiiibu,huku ukimpangua mmoja baada ya mwingine, mpaka ubaki na yule anaekufaaa mpo dada zangu?