sorry EMTnisaidie,niweke feedback palepale au niianzishie thread mpya?Ila tupo vizuri.
Lmao..... Nice one.... Your selection in Music.... mmmh!!!
Nawaza kesho nitafute kisingizio gani nitoroke kazini mchana bila kuleta trouble na boss!
Nawaza kesho nitafute kisingizio gani nitoroke kazini mchana bila kuleta trouble na boss!
Duh! La kazi nahisi siku tungevaana mwilini.Ntawapa feedback wkend nikitulia. Nipo field natumia simu tu,huwa napenda kuchungulia tu nijue yaliyomo.NtawajuzaHapa ni chit chat so hakuna noma. But naona bora kule kule ili na wadau wengine waliochangia wapate feedback. Issues zako mbili were truly exceptional. Hasa ile ya kazini, dah!
Pitia threads zangu utaikuta...Kweli hakuna aijuae kesho!Hivi ya kazini ndio ile ya msemo wa alie juu eeeh??
Ye anataka kutoroka mchana... Asubuhi atakuepo.Anzisha ugonjwa tena useme jinoUmwambie umeme umekatika.... pumb ya maji inatumia umeme, hibyo umeshindwa kuonga...nguo unatumia umeme kunyosha hivo huwezi nyoosha...lol
Pitia threads zangu utaikuta...Kweli hakuna aijuae kesho!
Ye anataka kutoroka mchana... Asubuhi atakuepo.Anzisha ugonjwa tena useme jino!
Hapa nawaza harusi ntakayoenda jumamosi,nivaeje na hivi rasta ntabana style gani!!!?
Harusi ya kakake mtu.Gauni naona itakua mwake sana mbele ya wazee wa kichaga.Kama uko kama hio Avatar... Rasta weka Style ya Mohoc... inampendeza kila mtu...Nguo kwenye harusi nivizuri kuvaa nguo ndefu hadi miguuni BUT sexy....Hivyo itabidi i cling kidogo mwilini kuliko kuvaa fupi hali wazee wanakuwepoyaani bora hata mgongo wazi kidogo... alafu kuna zile suruali zimekujawaweza vaa usiku na Stiletto za Gladieters... ila top iwe sexy and silky...
Hapa nawaza harusi ntakayoenda jumamosi,nivaeje na hivi rasta ntabana style gani!!!?
Kama uko kama hio Avatar... Rasta weka Style ya Mohoc... inampendeza kila mtu...
Nguo kwenye harusi nivizuri kuvaa nguo ndefu hadi miguuni BUT sexy....
Hivyo itabidi i cling kidogo mwilini kuliko kuvaa fupi hali wazee wanakuwepo
yaani bora hata mgongo wazi kidogo... alafu kuna zile suruali zimekuja
waweza vaa usiku na Stiletto za Gladieters... ila top iwe sexy and silky...
Do you have the guts of telling your thoughts??
Hapo ulipo unawaza nini??
Please share .Iwe kweli lakini .lol
oh!! And Please usishangae... This is Chit Chat...
P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe .(ADI)
ukija mjini tuletee ming'oko.Ukizingatia mzee mzima nitakuwepo na kifimbo changu. Na kama itakuwa mbele ya wazee wa kichaga, ni full heshima. lol. Mie niko Mchinga.
Mwambie ukweli!i made a promise to call her last night... nikapitiwa na usingizi nikimsomea kitabu mtoto wa sis wangu ili alale.. nimestuka nakuta e-mail akinilaumu nimemuweka macho akisubiri call yangu! now aim thinking nimueleze vipi anielewe.. sababu katika mail yake ameshaweka conclusion "umekuwa muongo sikuhizi hun"
Umwambie umeme umekatika....
pumb ya maji inatumia umeme,
hibyo umeshindwa kuonga...
nguo unatumia umeme kunyosha
hivo huwezi nyoosha...lol