Usichakachue Mawazo Express your Self!!!

sorry EMTnisaidie,niweke feedback palepale au niianzishie thread mpya?Ila tupo vizuri.

Hapa ni chit chat so hakuna noma. But naona bora kule kule ili na wadau wengine waliochangia wapate feedback. Issues zako mbili were truly exceptional. Hasa ile ya kazini, dah!
 
You see? She can't even sit on her seat now. Its becoming extremely hot. She is dancing now. I wonder what will be her next move.

:typing: ADI is busy... not watching....lol
 
Nawaza kesho nitafute kisingizio gani nitoroke kazini mchana bila kuleta trouble na boss!

Umwambie umeme umekatika....
pumb ya maji inatumia umeme,
hibyo umeshindwa kuonga...
nguo unatumia umeme kunyosha
hivo huwezi nyoosha...lol
 
Hapa ni chit chat so hakuna noma. But naona bora kule kule ili na wadau wengine waliochangia wapate feedback. Issues zako mbili were truly exceptional. Hasa ile ya kazini, dah!

Hivi ya kazini ndio ile ya msemo wa alie juu eeeh??
 
Hapa ni chit chat so hakuna noma. But naona bora kule kule ili na wadau wengine waliochangia wapate feedback. Issues zako mbili were truly exceptional. Hasa ile ya kazini, dah!
Duh! La kazi nahisi siku tungevaana mwilini.Ntawapa feedback wkend nikitulia. Nipo field natumia simu tu,huwa napenda kuchungulia tu nijue yaliyomo.Ntawajuza
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Umwambie umeme umekatika.... pumb ya maji inatumia umeme, hibyo umeshindwa kuonga...nguo unatumia umeme kunyosha hivo huwezi nyoosha...lol
Ye anataka kutoroka mchana... Asubuhi atakuepo.Anzisha ugonjwa tena useme jino
 
Hapa nawaza harusi ntakayoenda jumamosi,nivaeje na hivi rasta ntabana style gani!!!?
 
Hapa nawaza harusi ntakayoenda jumamosi,nivaeje na hivi rasta ntabana style gani!!!?

Kama uko kama hio Avatar... Rasta weka Style ya Mohoc... inampendeza kila mtu...

Nguo kwenye harusi nivizuri kuvaa nguo ndefu hadi miguuni BUT sexy....
Hivyo itabidi i cling kidogo mwilini kuliko kuvaa fupi hali wazee wanakuwepo
yaani bora hata mgongo wazi kidogo... alafu kuna zile suruali zimekuja
waweza vaa usiku na Stiletto za Gladieters... ila top iwe sexy and silky...
 
Kama uko kama hio Avatar... Rasta weka Style ya Mohoc... inampendeza kila mtu...Nguo kwenye harusi nivizuri kuvaa nguo ndefu hadi miguuni BUT sexy....Hivyo itabidi i cling kidogo mwilini kuliko kuvaa fupi hali wazee wanakuwepoyaani bora hata mgongo wazi kidogo... alafu kuna zile suruali zimekujawaweza vaa usiku na Stiletto za Gladieters... ila top iwe sexy and silky...
Harusi ya kakake mtu.Gauni naona itakua mwake sana mbele ya wazee wa kichaga.
 
Hapa nawaza harusi ntakayoenda jumamosi,nivaeje na hivi rasta ntabana style gani!!!?

Kama uko kama hio Avatar... Rasta weka Style ya Mohoc... inampendeza kila mtu...

Nguo kwenye harusi nivizuri kuvaa nguo ndefu hadi miguuni BUT sexy....
Hivyo itabidi i cling kidogo mwilini kuliko kuvaa fupi hali wazee wanakuwepo
yaani bora hata mgongo wazi kidogo... alafu kuna zile suruali zimekuja
waweza vaa usiku na Stiletto za Gladieters... ila top iwe sexy and silky...

Ukizingatia mzee mzima nitakuwepo na kifimbo changu. Na kama itakuwa mbele ya wazee wa kichaga, ni full heshima. lol. Mie niko Mchinga.
 
Do you have the guts of telling your thoughts??
Hapo ulipo unawaza nini??
Please share….Iwe kweli lakini….lol
oh!! And Please usishangae... This is Chit Chat...

P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)

i made a promise to call her last night... nikapitiwa na usingizi nikimsomea kitabu mtoto wa sis wangu ili alale.. nimestuka nakuta e-mail akinilaumu nimemuweka macho akisubiri call yangu! now aim thinking nimueleze vipi anielewe..
sababu katika mail yake ameshaweka conclusion "umekuwa muongo sikuhizi hun"
 
i made a promise to call her last night... nikapitiwa na usingizi nikimsomea kitabu mtoto wa sis wangu ili alale.. nimestuka nakuta e-mail akinilaumu nimemuweka macho akisubiri call yangu! now aim thinking nimueleze vipi anielewe.. sababu katika mail yake ameshaweka conclusion "umekuwa muongo sikuhizi hun"
Mwambie ukweli!
 
jamani! ww unataka mwenzio astaafishwe kazi kwa manufaa ya umma? kama rais handsome jana bbc swahili alikuwa analaumu ukame (story ya kila siku, as if next year ana appointment za mvua na Mungu), huoni kama tatizo la umeme is here to stay? bora aseme ana mafua ya kitimoto watampa na extra days kabisaa!

Umwambie umeme umekatika....
pumb ya maji inatumia umeme,
hibyo umeshindwa kuonga...
nguo unatumia umeme kunyosha
hivo huwezi nyoosha...lol
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom