inasikitisha sana unapomfukuzia demu mkali kwa muda mrefu,unafika nae kitandani baada ya ubishi mwingi,mvutano wa hapa na pale,ile umemvua tu chupi bwana mkubwa akasinzia fofofoooo!
Inafurahisha sana pale unaposikia anayekudai Mamilioni bila kuandikishiana kafa ghafla!
Inafurahisha sana..unataka kuingia clas ya mchana alafu umechokaaa!! Jua kali alafu umeshiba unatamani kupumzika!! Gafla unapigiwa cm mwalimu haingii anamatatizo ivyo haji class!!
inafurahisha unapomfumania demu unayetafuta 7bu za kumtosa akiwa na mchizi sita kwa sita.
inasikitisha sana JF inavyonimalizia muda wa mambo mengine.
Inafurahisha sikukuu zunapofuliza week end,juu kwa juu.