Usibishe,inaburudisha sana.

Inaburudisha sana pale forward mkali anakupita wewe beki wa mwisho halafu anabanwa na msuli akiwa kabaki yeye na golikipa.
 
Inaburudisha sana pale kipa unapofungwa goli,ukicheki pembeni ya uwanja,kibendera cha mwamuzi wa kiko juu kuashiria ni off-side.
 
inasikitisha sana unapokuwa na dem ambae haukutaka kumnanii kwa sababu una malengo nae. Siku anabakwa live mbele ya macho yako
 
Haiburudishi kabisa demu umemfukuzia mwaka mzima,
Kuja kumpata "Jongoo halipandi Mtungi"
 
Inaburudisha sana pale unapotoa haja kubwa msalani baada ya kubanwa muda mrefu sana
 
Inasikitisha sana kwa wote ambao hawajaokoka kwa kumkubali Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yao kwani ndio wanaenda motoni hivyo!
 
Inasikitisha sana umepoteza nguvu na muda mwingi kulipopoa embe lililo oza.
 
Back
Top Bottom