Usibishe,inaburudisha sana.

inahuzunisha pale unapofariki kwenye folen ya mshahara wako wa kwanza toka uanze kazi.
 
inasikitisha sana unapomfukuzia demu mkali kwa muda mrefu,unafika nae kitandani baada ya ubishi mwingi,mvutano wa hapa na pale,ile umemvua tu chupi bwana mkubwa akasinzia fofofoooo!
 
utakuwa na matatizo.
 
ndovu3.gif

NDOVU BARIDIIIIIIII INABURUDISHA SANA:
 
inasikitisha sana unapomfukuzia demu mkali kwa muda mrefu,unafika nae kitandani baada ya ubishi mwingi,mvutano wa hapa na pale,ile umemvua tu chupi bwana mkubwa akasinzia fofofoooo!

Mwee! hiyo inaliza kabisa!
 
inasikitisha sana unapomfukuzia demu mkali kwa muda mrefu,unafika nae kitandani baada ya ubishi mwingi,mvutano wa hapa na pale,ile umemvua tu chupi bwana mkubwa akasinzia fofofoooo!
huo ugonjwa wa siku nyingi!la sovyo shughuli yake huwa ni pevu!
 
Back
Top Bottom