Usibishe,inaburudisha sana.

{1}Inaburudisha sana pale unapoamka usiku unaangalia saa unagundua bado una masaa mawili zaidi ya kuendelea kulala kabla ya muda wa kuamka kwenda kazini/shuleni/chuoni kufika.

nimeburudika sna baada ya hii kunitokea leo...
 
Inaburudisha sana kuburudika huku ukiburudisha wengine nao wakiburudika na burudani ya kuburudisha moyo!
 
Inaburudisha saana pale mwalimu anapoamua mtihani urudiwe tena wakati wewe ulipiga mswaki'F'.
 
inahuzunisha sana unapoota unaokota mihela mingi, kuamka 2 unakuta huna hata sen tano.
 
inafufahisha sana enzi zileeee... Dingi anataka kukupa kichapo ila wageni wanatokea fasta basi hasira zote zinaondoka mambo yanarudi normal...
 
inafurahisha sana enzi zileeee... Dingi anataka kukupa kichapo ila wageni wanatokea fasta basi hasira zote zinaondoka mambo yanarudi normal...
 
Inasikitisha sana upo kwenye chumba cha mtihani,huoni hata swali moja unaloweza kujibu halafu wenzako wanashindana kuomba booklets kwa msimamizi.
 
Inafurahisha sana..unataka kuingia clas ya mchana alafu umechokaaa!! Jua kali alafu umeshiba unatamani kupumzika!! Gafla unapigiwa cm mwalimu haingii anamatatizo ivyo haji class!!
 
Back
Top Bottom