grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,442
- 5,808
Hao wanaosema kuna walimu wana mafanikio wasome hapa:
Kuna jamaa yupo huku Mbezi Beach ni mwalimu, huyu bwana mara ya kwanza kuonana nae nilifiikiri ni mtu mwenye wadhifa mkubwa sana kwenye Taasisi fulani. Ni muhudhuriaji mzuri wa vikao vya jioni na ni mzungushaji mzuri wa round, gari zuri (Mark II grand). Hali hii ilinifanya nitake kuwa karibu naye ndipo nilipobaini kuwa ni mwalimu wa shule moja ya Serikali iliyopo katikati ya jiji.
Huyu bwana ni Graduate, ukitoa shule yake hiyo anafundisha shule nyingine mbili binafsi, hapo hapo anaduka kubwa tu la kuuza bidhaa za jumla karibu kabisa na sehemu tunayokaa vikao vyetu.
Sasa naomba mnisaidie, kama ualimu ni kuandaa somo la kesho yake ukiwa sehemu tulivu, azimio, andalio la somo na masuala mengine ambayo walimu nafikiri wanaelewa zaidi, Je huyu mtaalamu wetu anayafanya hayo sasa ngapi? Je vipi kuhusu ufanisi wake darasani?