Babu kuna mjukuu mpya umemuona unamnyemelea nini?Nauliza kwa mara ya pili!!!!!!!
dada wewe mkali hivi umeolewa?ha ha ha....thank you!
Aisee we mtu!
Kwa hiyo Michelle akinigonga nahamia kwa LD naye akinigonga nakamata Keren akiniletea za kuleta nakamata Dena Amsi huyu naye aspoelewaka nashika Festiledi, kisipoeleweka natafuta mwanajamiiwani...nisipomwelewa napigia simu Wiselady nisiponogewa naweka Prata ndani na hapo bado wapo kina JS, Maty...et el............Damn! Hivi nani alileta hii kitu inaitwa UKIMWI?[/QUOTE]penye red,hilo ndo swali huwa najuuliza,nauchukia huu ugonjwa ni basi tu!
dada wewe mkali hivi umeolewa?