Huwezi mlazimisha mtu kuchukua ushauri CPU,huo ni uamuzi wake....ila kamwe siwezi acha kutimiza wajibu wangu kama rafiki kwa hofu kuwa hatochukua ushauri......thanks!
Bandika bandua mbaya sana my sister,kwa mwaka unaweza kuwa umefanya hivyo hata mara 20,sasa kuja kupona hilo donda,utahiyaji muda sana,lakini otherwise ukitulia na kutafakari hata mwezi unaweza pona na kuendelea na maisha yako....issue ni we tend to avoid dealing with our emotional problems.....
Unafanya uamuzi then unajuta maisha yako yote what a waste?? thanx michelle, yan unajifanya unakomoa kumbe unajikomoa mwenyewe badae huna wa kumjutia