Ushauri wa talaka kwa wanawake ............

ni ishu kwa kuwa hawataki hata kuzungumza kuhusu divorce
wanajiangusha wenyewe,mijadala kama hii hawataki kabisa kushiriki
sheria zipo hawazijui.....wenzao haki sawa na kupiga vita mfumo dume
zinahusu mno masuala ya divorce.......wao wanaambiana tu 'vumilia'
Mbona siwaoni, hapa wapo Nyumba Kubwa tu na AshaDii wakati thread kama hizi inabidi wafunguke haswa kama ulivyosema Boss mfumo dume wanaousema ndio wanaishi chini ya kivuli hicho inakuwa ni vigumu kwa wao ku-divorce simply because anaona ile jamii inayomzunguka itaanza kumnyooshea kidole for what she has done ndio maana wengi wao wako tayari kuishi anapigwa ndani ya ndoa lakini ataendelea kuvumilia for the sake ya kulinda ndoa
 
wanaume tunaweza kuanza kuelimishana
ukiona mwanaume mwenzio 'anamletea ligi ex wife wake'
muelimishe tu sana....
tuwachukulie wanawake kama ambavyo tungependa
mama zetu na dada zetu wawe treated.........

tatizo si ligi mwanaume analeta ni wamama ndio wanaleta ligi kuonyesha kwamba wanaweza na si lazima wategemee baba katika maisha ya kila siku
 
Mbona siwaoni, hapa wapo Nyumba Kubwa tu na AshaDii wakati thread kama hizi inabidi wafunguke haswa kama ulivyosema Boss mfumo dume wanaousema ndio wanaishi chini ya kivuli hicho inakuwa ni vigumu kwa wao ku-divorce simply because anaona ile jamii inayomzunguka itaanza kumnyooshea kidole for what she has done ndio maana wengi wao wako tayari kuishi anapigwa ndani ya ndoa lakini ataendelea kuvumilia for the sake ya kulinda ndoa

wanadanganyana mno...
nchi nyingi sasa mwanaume ukitaka ku divorce
inabidi uhame nyumba na kumuacha mwanamke na watoto
na pesa za matumizi utakatwa...
hayakuja hivi hivi,wameyapigania hayo mambo....
 
tatizo si ligi mwanaume analeta ni wamama ndio wanaleta ligi kuonyesha kwamba wanaweza na si lazima wategemee baba katika maisha ya kila siku

mwanamke akileta ligi
unamdharau tu
lakini matunzo kwa watoto na haya huyo mama yao
ni muhimu aisee....wanawake ni kama watoto wadogo sometimes....
unawachukulia tu
 
mi naona huku kwetu wanaume ndio wagumu kutoa talaka kwa wanawake zao, wanataka watengane lakini karatasi hawataki kutoa, hata sielewi kwa nn, mambo ya ndoa haya mie naona kuongea na kurekebisha yaliyoenda mrama ndio mpango mzima,sipendi kuachana kabisa
 
Hizo mara nyingi ni nchi za dunia ya kwanza; sisi dunia ya tatu average citizen hana cha kugawanya mara mbili.
Hapo hata sheria ikisema baba aondoke mwachie mama nyumba bado baba ataishia kuumbuka na watoto wataingiwa na huruma na hawakawii kukuchukia mama kwa "kumfukuza baba"

Na hili swala la kumbana mwanaume baada ya divorce limefanya wanaume wengine wa hizo nchi waogope ndoa na ku prefer kuishi na wanawake kama partners tu.

wanadanganyana mno...
nchi nyingi sasa mwanaume ukitaka ku divorce
inabidi uhame nyumba na kumuacha mwanamke na watoto
na pesa za matumizi utakatwa...
hayakuja hivi hivi,wameyapigania hayo mambo....
 
Hawatoi makaratasi kwa sababu labda wanaogopa kugawa mali au wanataka siku akikukuta na mwanaume mwingine akutie vibao.

mi naona huku kwetu wanaume ndio wagumu kutoa talaka kwa wanawake zao, wanataka watengane lakini karatasi hawataki kutoa, hata sielewi kwa nn, mambo ya ndoa haya mie naona kuongea na kurekebisha yaliyoenda mrama ndio mpango mzima,sipendi kuachana kabisa
 
Talaka za siku hizi si za makosa, mtu anaamua amepata mwenza mwingine amekuchoka anakutwanga talaka. Uvumilivu ni kiungo muhimu kwa binadamu, ebu imagine huna uvumilivu inakuwaje? ukipika chumvi nyingi talaka, umechelewa chooni talaka! nafikiri wanaume hamjui matumizi ya talaka.
 
Hizo mara nyingi ni nchi za dunia ya kwanza; sisi dunia ya tatu average citizen hana cha kugawanya mara mbili.
Hapo hata sheria ikisema baba aondoke mwachie mama nyumba bado baba ataishia kuumbuka na watoto wataingiwa na huruma na hawakawii kukuchukia mama kwa "kumfukuza baba"

Na hili swala la kumbana mwanaume baada ya divorce limefanya wanaume wengine wa hizo nchi waogope ndoa na ku prefer kuishi na wanawake kama partners tu.

zipo nchi za kiarabu zina system hiyo

kwani partners wewe hupendi?si ni ndoa pia?
 
Hawatoi makaratasi kwa sababu labda wanaogopa kugawa mali au wanataka siku akikukuta na mwanaume mwingine akutie vibao.
na kumbuka yeye ndio maybe alipata mwingine akaamua kuhamia huko, au kuoa kabisa, akakuacha unahangaika na watoto, then unaomba talaka bado anakunyima sijui anakuwa anataka nini, mimi dada angu aliambiwa ukienda mahakamani nitakachokufanya hutakaa kusahau
 
Talaka za siku hizi si za makosa, mtu anaamua amepata mwenza mwingine amekuchoka anakutwanga talaka. Uvumilivu ni kiungo muhimu kwa binadamu, ebu imagine huna uvumilivu inakuwaje? ukipika chumvi nyingi talaka, umechelewa chooni talaka! nafikiri wanaume hamjui matumizi ya talaka.
Hhahaha!!! Usiku huu kwa jinsi nilivyocheka....lol
 
Anakuweka akiba (amekupa suspension) mambo yake yakienda ndivyo sivyo anakurudia.

na kumbuka yeye ndio maybe alipata mwingine akaamua kuhamia huko, au kuoa kabisa, akakuacha unahangaika na watoto, then unaomba talaka bado anakunyima sijui anakuwa anataka nini, mimi dada angu aliambiwa ukienda mahakamani nitakachokufanya hutakaa kusahau
 
na kumbuka yeye ndio maybe alipata mwingine akaamua kuhamia huko, au kuoa kabisa, akakuacha unahangaika na watoto, then unaomba talaka bado anakunyima sijui anakuwa anataka nini, mimi dada angu aliambiwa ukienda mahakamani nitakachokufanya hutakaa kusahau

yaani kutishwa tu ndo mtu asiende mahakamani??????
kweli mnahitaji msaada mkubwa
 
mwanamke akileta ligi
unamdharau tu
lakini matunzo kwa watoto na haya huyo mama yao
ni muhimu aisee....wanawake ni kama watoto wadogo sometimes....
unawachukulia tu

kuna muda mtu anatuma kiasi kwa ajili ajili ya matunzo ya mtoto lakini mama anauliza hizi unanipa kwa ajili ya nini au ni za nini sas hapo mkuu next time utapata nguvu ya kutuma hata pesa ya matumizi??? tatizo watu hutumia watoto kama sehemu ya kumyanyasia mwenzake au kumtukanisha ..
 
Kwa imani za dini hiyo kitu haipo; ila sasa hao wenzetu sijuhi ndo wanaitwa freemason; lol.
.duba

kitu gani hakipo?
saudi arabia,kuwait,dubai,oman.tunisia na morroco...kote huko ukitoa talaka ni werwe mwanaume unahama nyumba
na matumizi unaleta....
 
yaani kutishwa tu ndo mtu asiende mahakamani??????
kweli mnahitaji msaada mkubwa
kaenda na kashapata talaka yake tayari, yuko happy na the boss wake...yaani mume wa mtu....yeye kawa nyumba ndogo kama ulivosema kwa thread yako pale
 
Haya mambo nyie acheni; kuna baba mmoja (anatoka mkoa mmoja na baba hence was close family friend) alitengana na mkewe.

Kisa wife alikuwa mapepe; mume alikuwa anasafiri sana (pilot) sasa akisafiri mwanamke analala nje. Kuna siku safari ikahairishwa; baba karudi home wife hola.

Wife anarudi home asubuhi anaambiwa baba alikuwepo ameenda kazini;

Mke kafunga virago kajipa talaka mwenyewe.

Mwanaume katafuta mke mwingine kaoa; kumbe mapenzi yake yote bado yako kwa previous wife.

Huwezi amini huyu baba alimgeuza ex wife wake kimada. Ex wife wake alikuwa anakaa karibu na mama yangu hivyo huyo mzee alikuwa analala pale kila mtu anajua.

So sad mbaba keshakufa na HIV after several years of divorce; sijuhi kama walikuwa nao before divorce au uzinzi waliouendeleza ndo umewaponza. Mama anaendelea kusambaza maana ana mvuto wa hajabu.
 
Nachoongelea kuwa hakipo ni kuishi kama partners; najua talaka kwa baadhi ya dini ni ruksa.

.duba

kitu gani hakipo?
saudi arabia,kuwait,dubai,oman.tunisia na morroco...kote huko ukitoa talaka ni werwe mwanaume unahama nyumba
na matumizi unaleta....
 
Haya mambo nyie acheni; kuna baba mmoja (anatoka mkoa mmoja na baba hence was close family friend) alitengana na mkewe.

Kisa wife alikuwa mapepe; mume alikuwa anasafiri sana (pilot) sasa akisafiri mwanamke analala nje. Kuna siku safari ikahairishwa; baba karudi home wife hola.

Wife anarudi home asubuhi anaambiwa baba alikuwepo ameenda kazini;

Mke kafunga virago kajipa talaka mwenyewe.

Mwanaume katafuta mke mwingine kaoa; kumbe mapenzi yake yote bado yako kwa previous wife.

Huwezi amini huyu baba alimgeuza ex wife wake kimada. Ex wife wake alikuwa anakaa karibu na mama yangu hivyo huyo mzee alikuwa analala pale kila mtu anajua.

So sad mbaba keshakufa na HIV after several years of divorce; sijuhi kama walikuwa nao before divorce au uzinzi waliouendeleza ndo umewaponza. Mama anaendelea kusambaza maana ana mvuto wa hajabu.
Huyu sister nae atarudiana na mumewe tu, coz analalamika hakuna mwanaume anaeweza kumfikisha kama x wake
 
Back
Top Bottom