The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,885
Kila mara wanaume tunapojadili masuala ta ndoa na matatizo yake..
ni kawaida mno kwa wanaume kutaja TALAKA kama moja ya suluhisho
kwa wanaume kumshauri mwenzio 'kutoa talaka' akiona hakuna namna
si jambo la ajabu....
Tatizo ni kwa wanawake....ukitaja tu 'dai talaka' si ajabu asirudi kwako
au akakuchukia kabisaaa....
sasa hapa ningependa tujadili.......haya.......
1.kwa nini talaka inaonekana jambo baya mno kwenye jamii yetu
hasa kwa kina mama......kiasi kwamba 'the price' ya baadhi ya ndoa
ili ziendele ni kubwa mno ,hata kusababisha magonjwa na vifo...
2. kwa nini wanawake wanachukulia 'talaka' ni kosa la mwanamke
hata kama wameenda shule na wana exposure ya kutosha...
3.kama ubaya wa talaka ni mali na watoto kuteseka...
hivi hatuoni kuwa watoto wanateseka zaidi kwenye 'ndoa yenye kisirani'
kuliko wazazi wakiwa wameachana?????
4..kama ishu ni mali mlizotafuta pamoja,je hili halijadiliki????
5..Hivi ni ngumu saana kwa watu kuachana kwa wema?????
bila kuongezeana maumivu ya maisha?????
6.Hivi watu wanajua hasara za kiafya za 'ndoa mgogoro'
zinavyoweza kumdhuru mtu??????????
Nitafurahi tukielimishana na kufundishana namna ya kuachana kwa wema ikibidi
na muhimu zaidi watu watazame talaka kama moja ya option pia na sio kuogopa
hata kujadili...life is too short to accepts 'kero zinazoepukika'....