Ushauri wa talaka kwa wanawake ............

Tukirudi kwa average Tanzanian; hiyo ela ya kuweka trust fund unatoa wapi? Wakati mshahara si hajabu aufiki mwisho wa mwezi.

ungenijibu maswali yangu tungeelewana..
unajua maana pre nuptial agreement?
trust funds??????
wosia???????

wapo watu wanaishi kwa mali za babu,utasemaje hapo????/

huyo profesa ni hadithi nyingine,haihalalishi watu kuishi kienyeji still....
 
These issues are more complicated than I thought!

NN unaweza kuwa unabeba box huko M arekani
but kwa Watanzania wengi unaweza kuwa their Johnie Cochran aisee

mjadala unavyoenda utaanza ku appear kama GENIUS FULANI 'hivi
 
NN unaweza kuwa unabeba box huko M arekani
but kwa Watanzania wengi unaweza kuwa their Johnie Cochran aisee

mjadala unavyoenda utaanza ku appear kama GENIUS FULANI 'hivi

Hahaaa Boss bana...

Nikifikia hata robo ya Cochran mbona ntajidai...

Huu mjadala ni 'eye opener' kama ule mwingine wa nyumba ndogo uliouanzisha wiki iliyopita (kama sijakosea).

Nachukua notes zangu tu hapa!
 
Huu mjadala sidhani kama ni kwa ajili ya few people who have made it in life; hao wenye uwezo ni wachache sana; tuangalia tatizo kwa uhalisia wake.

Kama tunaongelea sheria ya ndoa sijuhi ibadilishwe; for who kama si wa Tz wote. Kugawana mali zipi wakati most Tz are poor?

Sana sana tunaongelea kumegeana vijishamba; sasa kuanza kuongelea trust funds Bongo ni unrealistic.

Na wale wenye uwezo jee haki yao ipotee kwa sababu wengi wa Watanzania mshahara hautoshelezi?
 
Tukirudi kwa average Tanzanian; hiyo ela ya kuweka trust fund unatoa wapi? Wakati mshahara si hajabu aufiki mwisho wa mwezi.

hiyo ya Trust funds nimekujibu kuhusu huyo
Professa uliyemtaja.....
na hata ukiwa average Tanzanian una uhakika gani utaendelea kuwa hivyo milele????/
na nini maana ya average? watu wana mashamba ekari 1000 na zaidi na wanaitwa masikini au walalahoi Tanzania..
 
Unless you want to tell me that Tz is a middle income country.
Maana mi siku zote najua watanzania ni masikini au nimedanganyika.

hiyo ya Trust funds nimekujibu kuhusu huyo
Professa uliyemtaja.....
na hata ukiwa average Tanzanian una uhakika gani utaendelea kuwa hivyo milele????/
na nini maana ya average? watu wana mashamba ekari 1000 na zaidi na wanaitwa masikini au walalahoi Tanzania..
 
Huu mjadala sidhani kama ni kwa ajili ya few people who have made it in life; hao wenye uwezo ni wachache sana; tuangalia tatizo kwa uhalisia wake.

Kama tunaongelea sheria ya ndoa sijuhi ibadilishwe; for who kama si wa Tz wote. Kugawana mali zipi wakati most Tz are poor?

Sana sana tunaongelea kumegeana vijishamba; sasa kuanza kuongelea trust funds Bongo ni unrealistic.

sasa huyo mwenye magorofa kumshauri kuhusu Trusts Funds ni unrealistic??????
na hayo mashamba hayana thamani milele????/
hivi unajua bei ya ekari 10 Bunju au Bagamoyo leo ikoje??????/
 
Huu mjadala sidhani kama ni kwa ajili ya few people who have made it in life; hao wenye uwezo ni wachache sana; tuangalia tatizo kwa uhalisia wake.

Kama tunaongelea sheria ya ndoa sijuhi ibadilishwe; for who kama si wa Tz wote. Kugawana mali zipi wakati most Tz are poor?

Sana sana tunaongelea kumegeana vijishamba; sasa kuanza kuongelea trust funds Bongo ni unrealistic.

Huu mjadala hauwatengi hao walio"made it in life" Kama Watanzania wana haki ya kulindwa na sheria za nchi kwenye mambo yao yote yanayowahusu.

Sheria ikibadilishwa ikiweza kuwahudumia PIA wenye mali, sio kama itakuwa imewatenga waso nazo, na itatoa fursa kwa hao wasonazo kuweza kulindwa kisheria pale tu watakapo pata uwezo

NB; vijishamba sio jambo dogo kama unavyodhani. Kuna tafiti zinazokubalika zinazoonyesha kuwa mauaji ya kimbari Rwanda yalichochewa (kati ya sababu nyengine) na vijishamba vya urithi (watu wengi mali inarithishwa kienyeji)
 
Unless you want to tell me that Tz is a middle income country.
Maana mi siku zote najua watanzania ni masikini au nimedanganyika.

DUH,kwa kweli unanipa kazi mpya kabisa....
uwe unapita jukwaa la Bussiness uone
Tanzania sio exceptional kwenye Globalization...
Wapo Wamarekani na watu wa nchi zingine wanakuja kununua stocks Daresalaam Stock Exchange...
very soon kutakuwa na watoto wanaolelewa na Trust Funds za wazazi wao waliokufa
na pengine tayari yanaendelea...
 
Boss

unaweza kuta kijishamba cha urithi ndani kuna Urenium ..............utanambia hakina thamani?
 
Boss

unaweza kuta kijishamba cha urithi ndani kuna Urenium ..............utanambia hakina thamani?

umeona hapo?au shamba lenu linafika ufukweni na wawekezaji wanataka kuweka hoteli ufukweni...
 
Ngoja ni log off; lakini nikuache na tease moja hapa.

Hizo trust fund zinalea watoto?

Zinazuia mtoto asiteswe na mama kambo mama yake akifa?

Zinafanayaje kazi?

Nilidhani what they can do at most ni kulipa fee na mambo mengine ya kipesa na si MALEZI.

Ndio maana nikasema aliyekufa kafa.
DUH,kwa kweli unanipa kazi mpya kabisa....
uwe unapita jukwaa la Bussiness uone
Tanzania sio exceptional kwenye Globalization...
Wapo Wamarekani na watu wa nchi zingine wanakuja kununua stocks Daresalaam Stock Exchange...
very soon kutakuwa na watoto wanaolelewa na Trust Funds za wazazi wao waliokufa
na pengine tayari yanaendelea...
 
Kwa mjadala huu jibu hapo ni lipi kama si kuwa watu wanaingia kwenye ndoa ili wa divorce; lol.

wanaingia kama kwenye fashion au mradi kaonekana kaolewa au kaoa ,, ndo maana divorce imekuwa kama kawaida
 
Ngoja ni log off; lakini nikuache na tease moja hapa.

Hizo trust fund zinalea watoto?

Zinazuia mtoto asiteswe na mama kambo mama yake akifa?

Zinafanayaje kazi?

Nilidhani what they can do at most ni kulipa fee na mambo mengine ya kipesa na si MALEZI.

Ndio maana nikasema aliyekufa kafa.

kukujibu kiufupi
kama umeacha mwanao akiwa na uhakika wa kupata elimu
the best education that money can offer........basi atakuwa better kuliko
vinginevyo.masuala mengine ni kukataa majukumu tu...tu si tunasema kila siku education is everything??????
 
the boss siku hizi hakuna tena kuolewa ama kuoa, ni KUOANA,period!
kitu kimoja nimekiona ni kutaka ku-justfy mateso yetu kinamama. kuna mpwa wangu useless husband wake alihama home kwenda kwa kimada. then mpwa anampigia simu,namuuliza why do u call him, anasema nilikua namuomba a-finalise talaka, bt she is nt even dating! basi tu kujipendekeza badala ya kuendeleza libeneke! a friend aliachana na mume jamaa ana-fight divorce mahakamani,dada aka-move on. akaenda ulaya karudi na 2 yrs old shombeshombe kid, jamaa alitoa talaka ya fasta!
inawezekana wanawake wanaopigania haki za wanawake
hawajaona jinsi lugha inavyowarudisha nyuma,
misamiati ya kuolewa na kuachwa inawaathiri zaidi kuliko tunavyofikiri...
 
You made my day; hivi hao waliouza mashamba yao kwa Barrick au AngloGold have they made it? Unadhani muwekezaji atakulipa thamani ya uranium au idadi ya migomba ulopanda?
Temea mate chini; ukiwa na shamba lenye madini hiyo ni bad news wala si good news kama unavyodhania; kwani utaliuza kwa bei watakayopanga wao. na kukupa lingine msanga wakati wewe uikuwa unakaa mbezi.

Boss

unaweza kuta kijishamba cha urithi ndani kuna Urenium ..............utanambia hakina thamani?
 
Kwangu mimi haipo kwenye mahesabu kamwe kwani neno linasema ..Basi alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe(marko 10:9)
 
Back
Top Bottom