Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Habari wana jf!mm ni kijana wa kitanzania,nlmalza kdato cha 6 mwaka jana ktk shule flan kule kanda ya ziwa,bt kutokana na sababu zczozuilika ckufanya application kwenye chuo chochote,so mwaka hu nina mpango wa kuapply chuo hvo naomben ushaur wa program ya kusoma na chuo kizur hapa tanzania,matokeo yangu hayakuwa mabaya wala mazur sana as nlpata division 2 points 10 katika mchepuo wa HGE{yani History,geography na economics}natangulza shukran.