Ushauri wa program ya kusoma chuo kikuu.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,044
1,999
Habari wana jf!mm ni kijana wa kitanzania,nlmalza kdato cha 6 mwaka jana ktk shule flan kule kanda ya ziwa,bt kutokana na sababu zczozuilika ckufanya application kwenye chuo chochote,so mwaka hu nina mpango wa kuapply chuo hvo naomben ushaur wa program ya kusoma na chuo kizur hapa tanzania,matokeo yangu hayakuwa mabaya wala mazur sana as nlpata division 2 points 10 katika mchepuo wa HGE{yani History,geography na economics}natangulza shukran.
 
Dah!
Hivi hadi unamaliza shule hujawahi kufikiria unataka uje uwe nani?
Nitashangaa sana kama hujafikiria maana jana nilikutana na vitoto viwili vya kike vipo form one vikaniambia vinataka kuwa maengineer wa ndege.
 
Mkuu nakushauri ukatafute digree ya biashara kama bcom,Accountancy,au0Banking and Finance. Ivi vitu bwn vina short payback period. Achana na siasa wala jamii,education n.k najua ushauri wangu hautopendwa na wengine ila ndo ukweli. Mkuu kumbuka preference yako ndo kitu cha kwanza,maoni yetu yafuate kukuimarisha. Mi ni mhasibu na nafurahia matunda ya kusoma uhasibu. Ila kama we mtu wa kukariri na una allergy na hesabu,plz achana na uhasibu maana utang'oka meno. Sikutishi ila ndo ukweli,japo kwa ujumla hamna digree rahisi.
 
dah!mkuu,inaweza ikawa nlikua na ndoto ka zao hao watoto bt kadri muda unavokwenda mambo nayo yanabadilika so labda kunaweza kukawa kuna k2 kzur zaid ya kile nlchokua nakifkria mim hvo ni vzr ukashaur kulko kuponda.
 
asante sana mkuu kwa ushaur wako mzur bt naomba kukuulza jambo flan,mbona kuna rumourz huku mitaan kwamba cku hz program za biashara soko lake lmekwsha,kwamba job seekers wamekua wengi kupita maelezo.
 
tafadhali sana usisome
political science.....

jaribu kusoma masuala ya environment ......
 
dah!mkuu,inaweza ikawa nlikua na ndoto ka zao hao watoto bt kadri muda unavokwenda mambo nayo yanabadilika so labda kunaweza kukawa kuna k2 kzur zaid ya kile nlchokua nakifkria mim hvo ni vzr ukashaur kulko kuponda.

nimekusoma mdogo wangu. Kasome accounts.
Job seekers ni wengi na demand ya accountants pia ni kubwa.
Kila ofisi inahitaji mhasibu na ofisi nyingi zinaexpand.
Pia unaweza kuulizia zaidi kozi ya procurement nayo ni nzuri kwa sasa.
Kuhusu chuo unaweza enda AIA.
 
asante broh!na vp kuhusu program za marketing,finance,law na actuarial science,zenyewe demand yake ikoje?
 
dah!mkuu,inaweza ikawa nlikua na ndoto ka zao hao watoto bt kadri muda unavokwenda mambo nayo yanabadilika so labda kunaweza kukawa kuna k2 kzur zaid ya kile nlchokua nakifkria mim hvo ni vzr ukashaur kulko kuponda.

Pengine ungeshare nasi kile ulichokua unafikiri hapo awali,na sababu ya/za kukufanya uone/uhisi kile ulichokua unafikiria mwanzo hakifai ndo maana unataka ushauri hapa.
 
asante sana mkuu kwa ushaur wako mzur bt naomba kukuulza jambo flan,mbona kuna rumourz huku mitaan kwamba cku hz program za biashara soko lake lmekwsha,kwamba job seekers wamekua wengi kupita maelezo.
ndugu nchii hii ni nchi changa hivyo uchumi bado unakua hivyo kazi za uhasibu na biashara zina uwanja mpana. unaweza kukosa kazi kwa miezi lakini si maisha yako yote
 
Asome ACTRUAL SCIENCE-UDSM au RECORDS MANAGEMENT-MZUMBE

asante ndugu bongolala!bt naomba kukuulza,kwa combination yangu ya HGE nliyosoma hyo actuarial science itakua inanihusu kwel,as nahc moja ya requeirements zao utatakiwa uwe ulipiga comb za science au yenyewe hyo imekaaje mkuu?
 
ndugu nchii hii ni nchi changa hivyo uchumi bado unakua hivyo kazi za uhasibu na biashara zina uwanja mpana. unaweza kukosa kazi kwa miezi lakini si maisha yako yote

asante mkuu,so kipi ni chuo bora kwa hayo masomo hapa tz?
 
Pengine ungeshare nasi kile ulichokua unafikiri hapo awali,na sababu ya/za kukufanya uone/uhisi kile ulichokua unafikiria mwanzo hakifai ndo maana unataka ushauri hapa.

ok!kwa kwel,nlikuaga naplan ya kuomba bcom,agro-economcs&agro-bussness na law bt as time goes on nliona ka market ya hvo v2 inapungua so nkaona ni busara nkashare mawazo na ndugu zangu wa jf!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom