Ushauri wa bure kwa mliokosa kazi TRA

Duuh! TRA hakuna TGS Kijana Wana Scale zao Acha Kukariri Mimi Nimeongea Na Jamaa yangu ambaye aliingia Mwaka 2016 na Akaniambia Walianza na 1.2Million Leo 2017 mnaweza Mkaanza na 1.3million scale nyingi zimeongezwa Pesa Tunaweza Tukaanza hata na 1.35Million na Siyo 1.2 ya 2016 Acha kufananisha NSSF, Bandari, TRA, TANROADS, TEMESA, TBA, BOT na Halmashauri hakuna Scale Inaitwa TGS kule
TBA wakala si njaa tupu??
 
Unanidai? Nakula kwako? Pambana kijana paambaanaaa.
Hujawa na maisha ya kuniambia hivi mzee,labda ulichonizidi ni huko kukaa kaa kwenye a/c na kuvaa vaa tutai huna kingine ila nakusisitiza punguza mbwembwe muda wowote unaweza kukutana na barua mezani haya maisha hayana formula.

Usini-quote tena sitakurudia.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Mimi sina wajibu wa kukufanya uwe na maisha kama yangu, yawe mazuri au la. Cha muhimu pambana uukimbie umasikini kama ambavyo kila mmoja anapambana kuukimbia. Wivu hautakusaidia zaidi ya kukuumiza roho. Ukini-quote nitajibu tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom