Sabi Sanda
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 409
- 31
Wanachama Wote na Viongozi wa CCM,
Kutokana na hali ya mambo ilivyo na hasa kwa faida ya nchi yetu kama Watanzania, tunawaomba sana Mbadilishe mgombea wenu wa Kiti cha Urais awe Dr. Salim Ahmed Salim na Mgombea wake Mwenza awe Dr. Adolf Faustine Kazimoto Mkenda au Profesa Ibrahim Nguyuru Lipumba.
Ni matumaini yangu na ya Watanzania wengi kuwa mtauzingatia ushauri huu wa bure.