Siri ya kinachoitwa usaliti wa Kikwete kwa Lowassa

Chifu Sanze

JF-Expert Member
Jul 20, 2021
3,130
6,368
Kelele na uongo mwingi unaozungumzwa ni kutokana na ndoto ya watu wa kaskazini kutoa Rais wa nchi kupotea huku matumaini yao makubwa yakiwekwa kwa Lowassa ambaye kwa wakati wake alionekana ndiye mwenye nguvu kuliko mtu mwingine yeyote kutoka ukanda huo,sasa kitendo cha CCM kumtosa kimewaumiza sana na wanaona hakuna mtu mwingine aliyewakosesha ndoto hiyo isipokuwa ni Kikwete kwa sababu ndiye alikuwa mwenyekiti wa chama lakini pia ni rafiki mkubwa wa Lowassa hivyo angeweza kutumia nguvu yake kama mwenyekiti wa chama kulazimisha kumsimamisha Lowassa kuwa mgombea wa chama hivyo tokea wakati huo wamekuwa wakimkasirikia na kumuona "snitch" kama wenyewe wanavyomuita,ushauri wangu kwao waache makasiriko waamini Mungu hakutaka Lowassa awe Rais wa Tanzania.
 
Mnaendelea na upumbavu wenu wa ubaguzi dhidi yetu wana Kaskazini.

Mnachokita mtakipata mapema wote mnaoleta ukabila.
 
Kikwete akitaka sana Membe awe rais kisa ntuwe, akambeba weee, Che nkapa akashtukia nchezo nchafu wa mkwere ndo Chenkapa kusema ka we nkwere una ntu wako basi na chama kiwe na uncle Magu pia, Ndo anko Magu kupata urais. Kwa kitendo cha nkwere kutaka rafikiye Membe ndo awe rais kuliharibu heshima alo nayo ikaonekana hakuwa mtu wa haki maana alimkata huyu akampendelea yule.
Nimependa uwakilishi wako wa "n" ndugu Komaa .
 
Sisi ambao hatuna Kanda tuna comment wapi?

You guys stop this mediocrity...Tumejengewa utaifa na waanzilishi wa Taifa hili haya mambo ya ukanda mnayapeleka wapi Kwa lipi?
 
Hii nchi yetu sote huko Kaskazini atapatikana Rais ni suala la muda tu Tanzania hatuna ubaguzi ila sio kulazimisha ionekane kama sio Lowasa basi hakuna mwingine tusijitie unyonge.
 
Kikwete akitaka sana Membe awe rais kisa ntuwe, akambeba weee, Che nkapa akashtukia nchezo nchafu wa mkwere ndo Chenkapa kusema ka we nkwere una ntu wako basi na chama kiwe na uncle Magu pia, Ndo anko Magu kupata urais. Kwa kitendo cha nkwere kutaka rafikiye Membe ndo awe rais kuliharibu heshima alo nayo ikaonekana hakuwa mtu wa haki maana alimkata huyu akampendelea yule.
Baaaaaa!!!! Nzee wa nsoga ntu wa dili dili
 
Kelele na uongo mwingi unaozungumzwa ni kutokana na ndoto ya watu wa kaskazini kutoa Rais wa nchi kupotea huku matumaini yao makubwa yakiwekwa kwa Lowassa ambaye kwa wakati wake alionekana ndiye mwenye nguvu kuliko mtu mwingine yeyote kutoka ukanda huo,sasa kitendo cha CCM kumtosa kimewaumiza sana na wanaona hakuna mtu mwingine aliyewakosesha ndoto hiyo isipokuwa ni Kikwete kwa sababu ndiye alikuwa mwenyekiti wa chama lakini pia ni rafiki mkubwa wa Lowassa hivyo angeweza kutumia nguvu yake kama mwenyekiti wa chama kulazimisha kumsimamisha Lowassa kuwa mgombea wa chama hivyo tokea wakati huo wamekuwa wakimkasirikia na kumuona "snitch" kama wenyewe wanavyomuita,ushauri wangu kwao waache makasiriko waamini Mungu hakutaka Lowassa awe Rais wa Tanzania.
Ni kweli Mungu hakutaka EL awe Rais, lakini kwa kupitia nani?
Hicho ndicho kinachoongelewa
 
Back
Top Bottom