ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,699
- 9,462
Habari ukipata ushauri zaidi njoo kwangu nikutengenezeee vitabu vya receipt , form, invoice na uniform za wafanyakazi wako karibu kwa huduma
salaam aleykum waugwana....nataka nifungue car wash business..sasa naomba wazo la location ambayo ni nzuri waungwana ambapo baadae nitaweka na tyre fitting pia asanteni..naombeni mawazo kidogo....happy christmas and new year