Memba wa jf kazi tunayo! Hata kazi za kutengeneza business plan na mchanganuo wa bajeti tunatakiwa kufanya?? Tena bure??Habari wakuu,Naomba kwa mwenye ufaham wa biashara ya car wash,anipe Ushauri ni kiasi gani cha fedha kinatosha kuanzisha biashara ya kusha magari ya saizi ya kati...
shukrani sana kakaPresha Mashine nzuri 1.2m-1.5m
Woover(vacum cleaner) 300K- 500k
Tank atleast 3000 litre 400K(sina hakika na hii bei) ukiweza nunua lenye ujazo mkubwa zaidi ni vizuri.
Vitambaa, brush, normal polish, wax, sabuni hivi tenga 50k-100k na haitoisha.
Eneo inategemea na ulipo.
NB: upatikanaji wa umeme na Maji ni wa muhimu sana kuzingatiwa.