Ushauri kwa mnaohitaji misaada mbali mbali mtandaoni/popote

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
9,681
12,255
Kuna tabia mimi binafsi niseme tu ina kera sana. Mtu humjui akujui anakutumia kimeseji "Mambo mkuu" ujumbe kama huo una kera sana.

Kwa kifupi ndugu zangu tunaotafuta fursa tujitahidi sana kuwa straight to the point. Unahitaji msaada wowote kwa yeyote jitahidi uende straight kwenye point kuna watu hawana muda wa kuchat chat ila ukihitaji helping hands kwao unapata.

Mfano umeona andiko langu la Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE

Ukinifuata inbox njoo directly to the point jukumu la kukusaidia au lah nitabaki nalo mimi...

Ila ukiniandikia ujumbe "Mambo" nahisi kama una ni dharau au haupo makini ama hujali muda.

Tujitahidi sana kujari muda na kuheshimiana dhamani fursa kuzipata ilikuwa ni ngumu sana. Ila siku hizi fursa zinakufuata popote ulipo.

Mfano wa ujumbe wa mtu mwenye kujielewa

"Samahani mkuu nimeona andiko lako juu ya ajira ughaibuni mimi ni kijana ninae tafuta fursa sehemu mbali mbali ulimwenguni....Kama huto jali ninaomba mawasiliano yako nje ya jamiiforums ili ujue jinsi gani unaweza kunisaidia...Namba zangu za simu ni 07xxxxxxx naomba unitafute mkuu."

Ila mtu anakuja pm anakuchatisha kama anakujua vile😭😭😭

Nimeona niwashauri maana mnaweza kupoteza fursa kwa kushindwa kujieleza.

Ni hitimishe kwa kusema kimeseji cha "Mambo" kina kera sana tujitahidi kwenda straight to the point....🙏🙏🙏🙏​
 
KunA tabia Mimi binafsi niseme tu ina KERA sana. Mtu humjui akujui anakutumia kimeseji "mambo mkuu" ujumbe kama huo una KERA sana.

Kwa kifupi ndugu zangu tunaotafuta fursa tujitahidi sana kuwa straight to the point. Unahitaji msaada wowote kwa yeyote jitahidi uende straight kwenye point KunA watu haWana muda wa kuchat chat ila ukihitaji helping hands kwao unapata.

Mfano umeona andiko langu la Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE
Ukinifuata inbox njoo directly to the point jukumu la kukusaidia au lah nitabaki nalo Mimi...

Ila ukiniandikia ujumbe "mambo" nahisi kama una ni dharau au haupo makini ama hujali muda.

Tujitahidi sana kujari muda na kuheshimiana dhamani fursa kuzipata ilikuwa ni ngumu sana. Ila siku hizi fursa zinakufuata popote ulipo.

Mfano wa ujumbe wa mtu mwenye kujielewa

"Samahani mkuu nimeona andiko lako juu ya ajira ughaibuni Mimi ni kijana ninae tafuta fursa sehemu mbali mbali ulimwenguni....kama huto jali ninaomba mawasiliano Yako nje ya JAMIIFORUMS Ili ujue jinsi gani unaweza kunisaidia...namba zangu za simu ni 07xxxxxxx naomba unitafute mkuu."

Ila mtu anakuja PM anakuchatisha kama anakujua vile😭😭😭

Nimeona niwashauri maana mnaweza kupoteza fursa kwa kushindwa kujieleza.

Ni hitimishe kwa kusema kimeseji Cha "MAMBO" kina KERA sana tujitahidi kwenda straight to the point....🙏🙏🙏🙏​
 
Ila mtu anakuja PM anakuchatisha kama anakujua vile

Nimeona niwashauri maana mnaweza kupoteza fursa kwa kushindwa kujieleza.

Ni hitimishe kwa kusema kimeseji Cha "MAMBO" kina KERA sana tujitahidi kwenda straight to the point....
Yaani huna mda hata wasalamu?, sisi wa Africa salamu ni Bora kuliko chochote

Yaani mitaa yetu ukijichanganya kutaka msaada bila salamu huenda ukasidiwa sicho.

Lazima uanze kuwajulia hali ndo ueleze shida Yako.

Kwamba wewe uko busy mpaka unaona salamu kwako inachelewesha mda?
 
Salamu yako iungane na shida yako. Tofautisha mazungumzo ya mdomo na ya maandishi.
 
KunA tabia Mimi binafsi niseme tu ina KERA sana. Mtu humjui akujui anakutumia kimeseji "mambo mkuu" ujumbe kama huo una KERA sana.

Kwa kifupi ndugu zangu tunaotafuta fursa tujitahidi sana kuwa straight to the point. Unahitaji msaada wowote kwa yeyote jitahidi uende straight kwenye point KunA watu haWana muda wa kuchat chat ila ukihitaji helping hands kwao unapata.

Mfano umeona andiko langu la Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE
Ukinifuata inbox njoo directly to the point jukumu la kukusaidia au lah nitabaki nalo Mimi...

Ila ukiniandikia ujumbe "mambo" nahisi kama una ni dharau au haupo makini ama hujali muda.

Tujitahidi sana kujari muda na kuheshimiana dhamani fursa kuzipata ilikuwa ni ngumu sana. Ila siku hizi fursa zinakufuata popote ulipo.

Mfano wa ujumbe wa mtu mwenye kujielewa

"Samahani mkuu nimeona andiko lako juu ya ajira ughaibuni Mimi ni kijana ninae tafuta fursa sehemu mbali mbali ulimwenguni....kama huto jali ninaomba mawasiliano Yako nje ya JAMIIFORUMS Ili ujue jinsi gani unaweza kunisaidia...namba zangu za simu ni 07xxxxxxx naomba unitafute mkuu."

Ila mtu anakuja PM anakuchatisha kama anakujua vile😭😭😭

Nimeona niwashauri maana mnaweza kupoteza fursa kwa kushindwa kujieleza.

Ni hitimishe kwa kusema kimeseji Cha "MAMBO" kina KERA sana tujitahidi kwenda straight to the point....🙏🙏🙏🙏​
Chief hapa umezingua, hiyo ni salamu tu kikwetu kwetu Africa huwez anza kumwambia mtu shida Yako bila kumsalimia na salamu ziko nyingi hiyo ya MAMBO ni mojawapo,

Kuna siku nilikuwa napita uswahilini nikafika sehemu nikakuta watu wamekaa sikuwasalimia nikanyoosha kufika mbele nikapotea njia huendi mbele kulia Wala kushoto isipokuwa urudi nyuma nilivyorudi nyuma ikabidi niwaulize wale wananchi niliowapita bila salamu wakaniambia siku nyingine ukipita jaribu kusalimia watu wakanielekeza njia kauchochoro kadogo sana unapita ubavu ubavu ila mbele ndio Kuna njia kubwa daah nilijisikia vibaya sana kwa nilichowafanyia toka siku hiyo siwez pita sehemu bila kutoa HI!
 
Blacks wanapenda mno salamu. Wanajua kuwa zile internal pains will be healed by your greetings. Binafsi sipendi Sana salamu. Yaani ninaweza kukusaidia pasipo kunisalimia. Salamu Ni sawa na kumnunua mtu yaani unamlainisha moyo wake ili awe willing kufanya Jambo kwa payback. Ni sawa na ahsante Ni malipo pia. Smt inabidi tuwe very strong mentally and emotionally kufanya Jambo bila mtu ku trigger our emotions.
Yaani nimemsadia hata hajanishukuru so wewe Ni sawa unadai malipo. Yaani unataka moyo wako Ile willingness or kindness yako inunuliwe. Yaani nasalimia Ila unakuta najifosi mno Mana I know human emotions wanataka ama zinatakaje
 
Asante umenielewa mkuu. Bora mtu aende straight to the point... mtu akujui humjui anakuandikia kimeseji "mambo mkuu"

Harafu anasubiri umjibu...Yani from nowhere unaanzaje kujibu kimeseji kama hicho...?

Hata ndugu zangu tu wa karibu sipendi kuchat chat nao...! Haya mawasiliano watu wanayatumia vibaya sana kwakweli...!​
 
Hapana, hajakataza salamu, bali salamu iambatane na lengo hasa la wewe/yeye kumfuata inbox, direct to the point. Vyote viende pamoja.
Umenielewa mkuu...hivyo ndivyo inavyo takiwa sasa...mtu anakufuata PM anakuandikia kimeseji "mambo mkuu"

Anasubiri umjibu...huku akiwa hakujui hajui kuwa pengine kwa wadhifa wako hiko kimeseji ni sawa na kukuvunjia heshima🤣🤣🤣

Watu wabadilike mambo mengi muda ni mchache sana...mtu mzima unapata wapi muda wa kujibu kimeseji kilicho andikwa "mambo mkuu" 🤣🤣🤣🤣​
 
Sio lazima kuunganisha salamu na shida, Anza salamu kwanza.. maana pia muitikio wa salamu unaweza kukupa ishara kuwa uendelee kueleza shida yako au laa.
Hujanielewa mkuu...unajua now a days mambo yamekuwa mengi na muda ni mchache sana.

Salamu haina umuhimu mtu anaweza asiijibu...hapo huyo kuwa na Cha kumlaumu ila ukienda straight to the point. Juu ya shida iliyo kufanya umtafute. Asipo kujibu unaweza kumlaumu na watu wakakuelewa.

Haya mtu anakuandikia kimeseji "mambo mkuu"

Unamjibuje mtu kama huyo...?

Tujifunze kuwa straight salamu inapoteza muda sana.​
 
Chief hapa umezingua, hiyo ni salamu tu kikwetu kwetu Africa huwez anza kumwambia mtu shida Yako bila kumsalimia na salamu ziko nyingi hiyo ya MAMBO ni mojawapo,

Kuna siku nilikuwa napita uswahilini nikafika sehemu nikakuta watu wamekaa sikuwasalimia nikanyoosha kufika mbele nikapotea njia huendi mbele kulia Wala kushoto isipokuwa urudi nyuma nilivyorudi nyuma ikabidi niwaulize wale wananchi niliowapita bila salamu wakaniambia siku nyingine ukipita jaribu kusalimia watu wakanielekeza njia kauchochoro kadogo sana unapita ubavu ubavu ila mbele ndio Kuna njia kubwa daah nilijisikia vibaya sana kwa nilichowafanyia toka siku hiyo siwez pita sehemu bila kutoa HI!
Hujanielewa mkuu...face communication ni tofauti na hiki ninacho zungumzia...uwezi kuwakuta watu barabarani harafu usiwasalimie...!

Nina maanisha humu PM mtu kuanza na hicho kimeseji "mambo" hakijakaa sawa.

Bora uandike hiyo "mambo" harafu iambatane na shida Yako.​
 
Una complicate tu issues mkuu
Aki text mambo tulia, akiona kimya atajiongeza objectivelly.

Kuwen wavumilivu kama mmeamua kuwasaidia watu msianze kuwanyali na kuwasema sema kisa vimisaada vyenu.

Humu watu wako wa namna tofauti tofauti si kila mtu yuko na communication skills kama umataka wawe.

Wavumilieni.

Na kama hampendi, bas hili angalizo umgeliweka kabisaa pale kwenye uzi wako kwamba wanaokuja pm waje straight.

Umesikia bro?? Acha hizo basi.
 
Hujanielewa mkuu...unajua now a days mambo yamekuwa mengi na muda ni mchache sana.

Salamu haina umuhimu mtu anaweza asiijibu...hapo huyo kuwa na Cha kumlaumu ila ukienda straight to the point. Juu ya shida iliyo kufanya umtafute. Asipo kujibu unaweza kumlaumu na watu wakakuelewa.

Haya mtu anakuandikia kimeseji "mambo mkuu"

Unamjibuje mtu kama huyo...?

Tujifunze kuwa straight salamu inapoteza muda sana.​
Kwan lazima umjibu?
 
Kuna tabia mimi binafsi niseme tu ina kera sana. Mtu humjui akujui anakutumia kimeseji "Mambo mkuu" ujumbe kama huo una kera sana.

Kwa kifupi ndugu zangu tunaotafuta fursa tujitahidi sana kuwa straight to the point. Unahitaji msaada wowote kwa yeyote jitahidi uende straight kwenye point kuna watu hawana muda wa kuchat chat ila ukihitaji helping hands kwao unapata.

Mfano umeona andiko langu la Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE

Ukinifuata inbox njoo directly to the point jukumu la kukusaidia au lah nitabaki nalo mimi...

Ila ukiniandikia ujumbe "Mambo" nahisi kama una ni dharau au haupo makini ama hujali muda.

Tujitahidi sana kujari muda na kuheshimiana dhamani fursa kuzipata ilikuwa ni ngumu sana. Ila siku hizi fursa zinakufuata popote ulipo.

Mfano wa ujumbe wa mtu mwenye kujielewa

"Samahani mkuu nimeona andiko lako juu ya ajira ughaibuni mimi ni kijana ninae tafuta fursa sehemu mbali mbali ulimwenguni....Kama huto jali ninaomba mawasiliano yako nje ya jamiiforums ili ujue jinsi gani unaweza kunisaidia...Namba zangu za simu ni 07xxxxxxx naomba unitafute mkuu."

Ila mtu anakuja pm anakuchatisha kama anakujua vile😭😭😭

Nimeona niwashauri maana mnaweza kupoteza fursa kwa kushindwa kujieleza.

Ni hitimishe kwa kusema kimeseji cha "Mambo" kina kera sana tujitahidi kwkuu weenda straight to the point....🙏🙏🙏🙏​
Mkuu wewe ni mimi. Mm nafanya biashara mtu anakuja inbox anaanza salamu nyiongii. Njoo inbox umenyooka unataka nini?
 
Blacks wanapenda mno salamu. Wanajua kuwa zile internal pains will be healed by your greetings. Binafsi sipendi Sana salamu. Yaani ninaweza kukusaidia pasipo kunisalimia. Salamu Ni sawa na kumnunua mtu yaani unamlainisha moyo wake ili awe willing kufanya Jambo kwa payback. Ni sawa na ahsante Ni malipo pia. Smt inabidi tuwe very strong mentally and emotionally kufanya Jambo bila mtu ku trigger our emotions.
Yaani nimemsadia hata hajanishukuru so wewe Ni sawa unadai malipo. Yaani unataka moyo wako Ile willingness or kindness yako inunuliwe. Yaani nasalimia Ila unakuta najifosi mno Mana I know human emotions wanataka ama zinatakaje
Aisee tuna mitazamo tofauti sana, yaani kumsalimia mtu ni kumlainisha ili asaidiwe??
Mmefika huku??

Mnatukosea sana wapenda salamu, tumepanda wote basi, tupo siti moja halafu hutaki kusalimiwa ati utaombwa, why unajishuku?? Wewe ni maskini kiasi kwamba huwezi saidia??
Hujui kusema hapana hata ukishawishiwa??
Huna msimamo, kwamba salamu tu inakutoa kwenye reli??
 
Huyu mdau yuko sahihi asilimia mia , binafsi sio PM tu, hata ukinifuata kwa meseji ya kawaida ukaanza na salamu ya aina hiyo hasa kwa namba ambayo siijui na haukujitambulisha kwenye hiyo salamu yako siwezi sikujibu...hii inaaply sana kwa mtu ambaye hamfahamiani,! ni kwamba kama umeamua kusalimia, then ambatanisha utambulisho na kusudi la hayo mawasiliano. huu ni utaratibu mzuri na sahihi kabisa wa kuwasiliana unaothamini na kuheshimu muda na nafasi wa mhusika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom