Lucky One
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 663
- 430
Habari zenu wanajamvi,natumai sherehe ya iddi pili imeenda vizuri.Nakuja kwenu leo nikitaka ushauri kama kichwa cha habari kinavyosomeka , nilisoma ECA na kwa sasa nipo katika zoezi la kuchagua fakati binafsi navutiwa sana na B.COM in accounts naomba sana ushauri wenu katika hili.kuhusu matokeo,nilipata daraja la pili
natumai mtanipa ushirikiano
NB:si kwamba sina marafiki au ndugu bali nataka tu ushauri wenu
natumai mtanipa ushirikiano
NB:si kwamba sina marafiki au ndugu bali nataka tu ushauri wenu