Lengeri
Senior Member
- Jul 3, 2009
- 180
- 15
Mimi ni anti-vinega na pro-clouds media group.
wewe ni shoga muda mrefu....
Mimi ni anti-vinega na pro-clouds media group.
wewe ni shoga muda mrefu....
Haya ndio madhara ya kubeba mabox mpaka ukubwani, akili zako ni shake well before use, weka mbali na watoto, yaani ni half empty glass.
Nonsense. nobody's scared ...That's what e-comm. is all about... Why dont u take the views u give here to whoever u want to give in person?
Ujumbe umefika...Jamaa hajui hata etiquette za uandishi.
Ujumbe umefika...
vinega hoyee!
Kule usukumani...hahahah....naona umechanganyikiwa hujua hata u-pst nini kazi unayo mkuu.................Mi hao vinega nimewatungua sana na manati aisee.
Ukweli huwa nasikiliza vipindi vya michezo tu yaani saa tatu usiku tofauti na hapo sina cha kusikiliza kutoka Clouds FM....Unasikiliza Clouds sasa hivi?
Kule usukumani...hahahah....naona umechanganyikiwa hujua hata u-pst nini kazi unayo mkuu.................
Ukweli huwa nasikiliza vipindi vya michezo tu yaani saa tatu usiku tofauti na hapo sina cha kusikiliza kutoka Clouds FM....
Ni kweli DMX aligoma kuja, je ulienda kwenye uzinduzi wa vinega nasikia walifunika mbaya.....Afadhali umekubali kuwa unapenda kuisikiliza. Ningekushangaa kama ungekataa.
2kafanye nini?mitandao kama.jf,fb,tweeter,utube nk. inatosha sana kumyima ruge usingizi na clouds yake.chezea jf weweee!!Hivi hamjui zilipo ofisi za Clouds?
Kwanza Clouds!
Hakuna ubishi kwamba mnasikika kwa wengi na hasa katika vijana. Mmejipatia umaarufu kutokana na ubunifu wenu wa kutoa burudani na kutangaza. Bado kwa kiasi kikubwa mnaheshimika katika tathnia ya Muziki na Habari! kwa bahati mbaya sana ni kama mnaanza kupoteza mwelekeo wa mlichokusudia au mnachokusudia katika jamii ya Watanzania kwa kutaka kuwa na malumbano au kwa kujitetea katika misingi ya kuwakandamiza wapinzani wenu! Msifanye kosa hilo kwani litawaghalimu sana! mnaweza kutoweka kabisa katika akili za watanzania mkajikuta mnaharibu business zenu! kwani mkikosana na mtu katika jambo lolote hamuwezi kukaa chini na kumaliza tofauti zenu?! hivyo arrange na Mh. Sugu ili mmalize tofauti zenu la sivyo Sugu atawamaliza maana kajipanga na anakubalika!. Kingine pia, inaonekana kama mko kwa karibu sana na Sysytem kwa maana ya Serikali au kuna watu wanaonufaika na System kiasi cha baadhi ya watangazaji kushindwa kuficha hisia zao!. Si vibaya kushirikiana na System ila katika tathnia ya habari na hasa Radio jitahidini kuwa neutral maana mnawatangazia walio wengi. Hisia zako za moyoni zisitawale matangazo ila mwongozo na ethics mlizojiwekea ndizo zitangulie kama wanavyofanya Radio nyingine!. Jaribuni kusoma nyakati, pimeni mwelekeo wa kisiasa maana kuna watu wanazama hata ikipita miaka 10 dalili hazionyeshi kwamba watapona na wakati huo mtajiweka katika mizani gani?.
Mh. Sugu!
Hongera zake maana hakuna ubishi kwamba mh Sugu nyota yake inazidi kung'ara! ana supporters wengi kwelikweli na hii ni tangu nilipomfahamu tukiwa tunasoma wote pale Mbeya Day, maana shughuli ya Muziki kaianza mapema wakati ule akiwa ana-rap na kudanc na wakati huo akivalia suruali kifuani! checkbob kwelikweli wakati huo na chunusi kwa wingi BUT really Smart!. BIG UP MEN umetoka mbali!. Namshauri yafuatayo; Achana na malumbano yatakupunguzia sifa! ili uendelee kukubalika na watu wa kaliba zote fanya jitihada zote na wakati wote kujitengenezea heshima!. najua ni mpiganaji na wakati mwingine huwa hukubali jambo kirahisi na pale unapoonewa! badilika kwa sasa maana unao supporters wa kutosha likiharibika jambo wambie supporters nao watahukumu!. Tumia muda wako kuleta na kutafuta mbinu za kuleta maendeleo jimboni kwako maana 2015 si mbali hata kama hutapenda kuendelea wewe lakini usikiangushe chama chako! Bila shaka umeishajitengenezea kamati ya kuleta maendeleo na pengine kutokana na muongozo wa Chama chako!. Achana na upuuzi wa kulumbana maana unaweza kukasilishwa ukajikuta unazungumza mambo yatakayokuondolea heshima. Mwisho burudani yako tunaitaka, ukiwa unapata nafasi kama ilivyojitokeza juzi, tuite tutakuja!
wewe ni shoga muda mrefu....
Ni kweli DMX aligoma kuja, je ulienda kwenye uzinduzi wa vinega nasikia walifunika mbaya.....
Sikwenda kwa wanuka majasho mimi.
ivi we unajionaje??mbona unadharau ivyo watanzania binadamu wenzako.