Ushafanya Utafiti wa A, E, I, O, U Katika Mapenzi?

hujui??? ngoja nikwambie... :gossip:
Ungejiskiaje hapo? :A S 12:

hahahaah kweli hilo lingekuwa tusi kubwa aisee!
Lakini mimi bado nashindwa kuamini kuwa hayo macho yako yanaweza kukasirika, They are Too soft to be harsh.
 
Hahahahaha... kwa kweli hata mimi sina kumbu kumbu ya mara ya mwisho nilikasirika. lol
Alafu kusema tu ukweli nimezingishiwa mtu ambae sio that bad...
ingekua fulani maybe ningekasirika. Ila mtakatifu? mbona poa tu? lol
 
Hapo red! who iz on target? lol
Just say sio mimi lol
 
Hapo red! who iz on target? lol
Just say sio mimi lol
Muulize Uncle akwambie... jana aliniotea mimi na huyo mtu ikabidi nipige rakaa 4 za kumuombaq Mungu apishe mbali. Si unajua Uncle akiota hutokea? lol
Wewe... I would be surprised, but amazed...
 
hahaah shule tunapigwa home work na wewe unapenda kuniongezea mahome work.
Hapo red! nitakuulizia in detail tukikuwa shule lol
 
Dah! jibaba tusamehe kwa ofutopik kwenye sredi yako bana! tunajaribu kuiweka laivu tu ili watu wakikuja asubuhi waione hewani, lakini kama haupendelei tushtue, tutalog off

Usijali mkuu tupo pamoja nilikuwa naandika ingine, utaiona hapo iko hewani! be free!
 
hahaah shule tunapigwa home work na wewe unapenda kuniongezea mahome work.
Hapo red! nitakuulizia in detail tukikuwa shule lol
We shule hutaki kuja bwana... unaishia kwenda kuokota mahembe na Husninyo, ona sasa kalazwa anaumwa "tumbo"
 
hahaha nitakuja bana! nasubiri ratiba ikae sawa tu, infakt leo sikutakiwa kuwa hapa lakini ratiba mbili tatu tu zimepanguka ndio maana niko.
 
Back
Top Bottom