Ushafanya Utafiti wa A, E, I, O, U Katika Mapenzi?

Sasa nimkane vipi? you can only untie what has been tied...
Halafu hata hivo sitafuti bahati... I was born lucky...

hahahaha u r rollercoasting honey! sasa point yetu ni kwamba kama hauko tied you have nothing to worry abt au kukasirika na lets brand it a JF informal couple? (hii ndio poiinti yetu, pliz usinikasirikie na mimi, nimefafanua tu)
 
Nafurahia company ya Ivuga, na yeye anafurahia yangu pia. Ila hatuko JF couple... na sipendi watupe label ya JF couple.
 
Nafurahia company ya Ivuga, na yeye anafurahia yangu pia. Ila hatuko JF couple... na sipendi watupe label ya JF couple.
See honey!

Nakubaliana na wewe mia kwa mia, lakini kwanini watu wanapokwambia usiichukulie as a joke and let it go?
They say , shadow can't chase a thief
 
I am a woman... ni kawaida niwe na paradoxical reasoning. Nataka watu washakie, ila wasiwe na uhakika... :)
hahaha what a post!
eniwei deskmate, alow me to leave.
sweet dreams, and of coz spare sweetest one for me
( I hope Ivuga won't mind this lol)
 
Back
Top Bottom