Calnde
JF-Expert Member
- Oct 7, 2008
- 1,373
- 277
1. Hapo mkuu umefanya yale ambayo tulitegemea wachambuzi wa mambo na mwelekeo wa siasa za Tanzania wayafanye.Ni makala ya kisomi isiyojaa chembe ya woga yenye lengo la kuelimisha na kufafanua hali ya mambo.
2. Kwa makala kama hizi na nyingine zifananazo na hizi mabadiliko yakweli yametokea. Tisonge mbele na kwa pamoja wale wenye nia ya kweli ya kuona mabadiliko tunaweza. Walianza kuandika,mambo ya wakubwa yakawekwa hadharani bila uoga,wakaendelea watanzania wakazidi kufunguka, walipoendelea,watu bila uoga wakatoka kudai haki zao na hata sasa tukiandika watanzania watatoka kumchomoa mkuu ofisini!
3.Natamani kuona jamvi hili likiwa kisima cha mabadiliko. Nimependa thread hii,just keep on..Nafikiri atakapopelekewa,na kuisoma,atasema amedhalilishwa sana na kuonewa sana tena hatujampa nafasi ya kijitetea! Atasema ameamua kumwandikia Spika barua ya kijuzulu!