Urithi wa Kikwete na haiba iso sababu

1. Hapo mkuu umefanya yale ambayo tulitegemea wachambuzi wa mambo na mwelekeo wa siasa za Tanzania wayafanye.Ni makala ya kisomi isiyojaa chembe ya woga yenye lengo la kuelimisha na kufafanua hali ya mambo.

2. Kwa makala kama hizi na nyingine zifananazo na hizi mabadiliko yakweli yametokea. Tisonge mbele na kwa pamoja wale wenye nia ya kweli ya kuona mabadiliko tunaweza. Walianza kuandika,mambo ya wakubwa yakawekwa hadharani bila uoga,wakaendelea watanzania wakazidi kufunguka, walipoendelea,watu bila uoga wakatoka kudai haki zao na hata sasa tukiandika watanzania watatoka kumchomoa mkuu ofisini!

3.Natamani kuona jamvi hili likiwa kisima cha mabadiliko. Nimependa thread hii,just keep on..Nafikiri atakapopelekewa,na kuisoma,atasema amedhalilishwa sana na kuonewa sana tena hatujampa nafasi ya kijitetea! Atasema ameamua kumwandikia Spika barua ya kijuzulu!
 
Bulesi,

Mkuu wangu nawe umechanganya.. Mimi huwa nafuatilia sana habari zilizopita hapa JF na kwa bahati nzuri Mungu kanijalia kukumbuka yaliyopita ingawa sii yote..

Rostam Aziz alikuwa mweka hazina wa CCM toka kipindi cha Mkapa na hasa wakati fedha zile za EPA zikichotwa..Record ya utumishi wake kama mweka hazina wa chama imebadilishwa ktk site ya CCM kiasi kwamba huwezi kumfunga Rostam na EPA lakini nakuhakikishia kwamba Rostam alikuwa mweka hazina na kuna moja ya mada humu ndani niliwahi kuweka hyperlink..nakumbuka sana ilikuwa ikihusu uchaguzi baada ya FMES kutushtua kuhusu mtu huyu ajulikanaye kama Rostam. Hizi habari za kusema Solome Mbatia ndiye alikuwa mweka hazina wakati wa EPA zimepigwa ubatizo na RA mwenyewe na pengine yawezekana kabisa kuwa ni sababu ya kifo chake!.. Mimi natilia mashaka sana ajali ile hasa wakati swala hili limefikia hapa..

Huwa najiuliza hivi ingekuwa vipi kamam marehemu angekuwa hai kwa sababu ktk record ya leo ndiye anayeonyeshwa kuwa mweka hazina wa chama.!

The fact ni kwamba hatukuwa tukifahamu nguvu na uwezo wa RA hadi mambo yalipoanza kujitokeza kulingana na maelezo ya FMES, huyu mtu hakupanda ngazi zote hivi hivi tu...

Sasa nirudie neno moja kwamba fedha za EPA zimechotwa wakati Mkapa ambaye ndiye alikuwa rais wetu na fungu kubwa (ambalo halizungumziwi) limetumika ktk kampeni za uchaguzi. Viongozi wote wa awamu ya nne wanaohusika wote walikuwa na nafasi ndani ya Utawala wa Mkapa. Na wengine bado wapo nje wala sintashangaa kusikia kama Sumaye pia kahusika...Kwa mshahara gani aliweza kutajirika ghafla kiasi hicho!

Inasemekana, (kulingana na habari za Mtaani) CCM walikubaliana kuchukua robo tu ya fedha zilizochukuliwa..Sasa kwanza ni swala la kujiuliza nani aliyepitisha fedha hizo zitoke kwa mashirika ya niaba yaa..kwa sababu haiwezekani mashirika kuundwa haraka kiasi kile na kupewa fedha bila kipenga cha la mgambo...

Kwa maana nyingine nachukulia kichwa cha mada hii - Urithi wa Kikwete na haiba iso sababu ina maji marefu zaidi ya dimbwi la fikra.. kwani ukitazama 1. Urithi na 2. Haiba, tunaweza kuona kina kirefu cha ya maji haya ktk kujenga sababu.
 
Sasa Kifupi ni kwamba mkuu Pundit kaandika mapungufu ya rais wetu (BLACK) ambayo nayakubali lakini wakati huo huo mimi nimewakumbusha mazuri ya rais Kikwete (WHITE) hivyo tunapoweka vitu hivi ktk mzani ni rahisi kwetu kuona huo mzani umeelemea upande gani ili tupate kuona hiyo Grey color ktk kupata balance!..

Mkandara.

Kwa nini mapungufu yawe BLACK na mazuri yawe WHITE? Kwa nini isiwe vice versa? Kweli unaamini kuwa kila kitu kibaya ni cheusi na kizuri cheupe?

Amandla......
 
Bulesi,

Mkuu wangu nawe umechanganya.. Mimi huwa nafuatilia sana habari zilizopita hapa JF na kwa bahati nzuri Mungu kanijalia kukumbuka yaliyopita ingawa sii yote..

Rostam Aziz alikuwa mweka hazina wa CCM toka kipindi cha Mkapa na hasa wakati fedha zile za EPA zikichotwa..Record ya utumishi wake kama mweka hazina wa chama imebadilishwa ktk site ya CCM kiasi kwamba huwezi kumfunga Rostam na EPA lakini nakuhakikishia kwamba Rostam alikuwa mweka hazina na kuna moja ya mada humu ndani niliwahi kuweka hyperlink..nakumbuka sana ilikuwa ikihusu uchaguzi baada ya FMES kutushtua kuhusu mtu huyu ajulikanaye kama Rostam. Hizi habari za kusema Solome Mbatia ndiye alikuwa mweka hazina wakati wa EPA zimepigwa ubatizo na RA mwenyewe na pengine yawezekana kabisa kuwa ni sababu ya kifo chake!.. Mimi natilia mashaka sana ajali ile hasa wakati swala hili limefikia hapa..

Huwa najiuliza hivi ingekuwa vipi kamam marehemu angekuwa hai kwa sababu ktk record ya leo ndiye anayeonyeshwa kuwa mweka hazina wa chama.!

The fact ni kwamba hatukuwa tukifahamu nguvu na uwezo wa RA hadi mambo yalipoanza kujitokeza kulingana na maelezo ya FMES, huyu mtu hakupanda ngazi zote hivi hivi tu...

Sasa nirudie neno moja kwamba fedha za EPA zimechotwa wakati Mkapa ambaye ndiye alikuwa rais wetu na fungu kubwa (ambalo halizungumziwi) limetumika ktk kampeni za uchaguzi. Viongozi wote wa awamu ya nne wanaohusika wote walikuwa na nafasi ndani ya Utawala wa Mkapa. Na wengine bado wapo nje wala sintashangaa kusikia kama Sumaye pia kahusika...Kwa mshahara gani aliweza kutajirika ghafla kiasi hicho!

Inasemekana, (kulingana na habari za Mtaani) CCM walikubaliana kuchukua robo tu ya fedha zilizochukuliwa..Sasa kwanza ni swala la kujiuliza nani aliyepitisha fedha hizo zitoke kwa mashirika ya niaba yaa..kwa sababu haiwezekani mashirika kuundwa haraka kiasi kile na kupewa fedha bila kipenga cha la mgambo...

Kwa maana nyingine nachukulia kichwa cha mada hii - Urithi wa Kikwete na haiba iso sababu ina maji marefu zaidi ya dimbwi la fikra.. kwani ukitazama 1. Urithi na 2. Haiba, tunaweza kuona kina kirefu cha ya maji haya ktk kujenga sababu.

Mimi bado na wasiwasi sana na unalosema Mkuu Mkandara.

Wakati wa wizi wa EPA (Aug 2005 to Nov 2005), Salome Mbatia alikuwa ndie Mweka Hazina wa CCM. Nataka niweke wazi kuwa, uongozi wa nchi ulianza kubadilika wakati huo huo. Isingekuwa rahisi, wala salama kwa uongozi ulikokuwa ukitoka madarakani kukataa matumizi ya pesa kwa ajili ya ushindi katika uchaguzi (kama zilitumika kwa uchaguzi). Maoni yangu ni kwamba, nguvu iliyotumika, ilikuwa kubwa kuliko ambavyo uongozi wa wakati ule ungeweza kuikabili.

Sumaye ana utajiri gani? Hebu nifahamishe ndugu yangu Mkandara utajiri alionao Sumaye ambao wewe unauzungumzia. Maana napata tabu sana kuujua.

Ni kweli kwamba walifanikisha upatikanaji wa fedha zile ni viongozi wa juu sana na wengi wao walirudi madarakani baada ya kuundwa serikali mpya. Hii inasababisha matatizo katika kutenganisha waliohusika na uchotaji huo wa fedha (za EPA) kati ya waliotoka na walioingia.
 
Fundi mchundo,
Mkuu wangu ni lugha tu inayoashiria upande pinzani kwani white imechukuliwa kama cheupe na black ni cheusi..Ni maswali ambayo hata mimi hujiuliza kwa nini watu weusi tunaitwa black wakati sisi ni brown.. Kwa nini tunaamini leo ni Jumamosi wakati inawezekana kabisa kuwa Jumatano. Hizi zote ni lugha zinazotuwezesha ku communicate sote kwani tunaweza kabisa kutumia rangi nyinginezo maadam wasomaji wanataweza kuelewa mpangilio mzima wa mawasiliano. Kwa mfano huyo mtu mweupe wa Ulaya tunamwita Mzungu sidhani kama kuna sababu yoyote ya kumwita hivyo au mtu mweusi kumwita mwafrika..
Nina hakika ningetumia mfano wako wengi wangejiuliza Mkandara kapagawa au kitu gani maanake alichoandika hakieleweki.

Recta,
Mkuu wangu nitakwambia kwamba habari nyingi za utajiri wa watu nazipata hapa JF.. Mimi sina tabia ya kufuatilia mali za watu isipokuwa kile nachosikia ama kuambiwa. Hata huyo Mramba, Yona na wengineo wote nimesikia zaidi ya kuona Utajiri wao. Mkapa na mali zake ni habari ya kusimuliwa sijna ushahidi hata kidogo..

Nitarudia kusema kwamba Salome Mbatia aliondoka kabla ya mwisho wa utawala wa Mkapa na Rostam alishika madaraka hayo wakati wa uchaguzi. Niliwahi kufuatilia hata ktk site ya chama wakati kampeni ziliendelea..I can bet on that labda tu kwa sababu tayari chama kimekwisha badilisha. Na niliwahi kutoa hapa janvini nikijadili kwa kina na Augustine Moshi kuhusu utawala wa Mkapa...
Ni kweli historia yote sasa hivi inaonyesha kuwa Salome Mbatia ndiye alikuwa mwekahazina hadi mwisho wa 2005 lakini nakumbuka vizuri sana kufungua site ya CCM na kukutana na jina la Rostam kwa mara ya kwanza hata kablka Kikwete hajachukua urais. Wakati huo jina lake lilikuwa bado kizani na FMES ndiye aliyetufahamisha uwezo wa mtu huyo hivyo nikawa na interest za kutaka kumjua kwani ni wakati huo huo ilisemekana pia kwamba Rostam alihusika na fedha za uchaguz toka Iran ama kitu kama hicho..
Muda umepita mkuu siwezi kukumbuka yote na zaidi ya yote haya sio Rostam ama Sumaye wanaoweza kujenga hoja za Mkapa isipokuwa ni utawala wa Mkapa in general na wote hawa kwa mabaya yao walikuwa viongozi ndani ya chama na serikali ya Mkapa.
 
Wakati huu tunapoelekea uchaguzi nikaona niirudishe hii masterpiece ya kaka yangu "Pundit" tuendelee kuichambua.
 
Wakati huu tunapoelekea uchaguzi nikaona niirudishe hii masterpiece ya kaka yangu "Pundit" tuendelee kuichambua.

Ha ha ha,

Nasubiri kuona ukitoa conclusion kuwa .. Kikwete amethibitisha kuwa hafai kwa sasa, tuchague mtu mwingine kuwa raisi wa Tanzania
 
Ha ha ha,

Nasubiri kuona ukitoa conclusion kuwa .. Kikwete amethibitisha kuwa hafai kwa sasa, tuchague mtu mwingine kuwa raisi wa Tanzania

Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza, ulishapata kulinganisha maoni ya kaka yangu "Pundit" na maoni yangu?

Mbona nilishasema vote CHADEMA ku close the gap na ili tusirudi kwenye single party system? Au ulitaka nisemeje ?
 
Duh,
Pundit kapotelea wapi?

Mlaumuni mtoto wa kidigo anayempunga kwa maji ya amdalasini mitaa ya Majani Mapana.

Anakwambia mchango wake katika miradi ya kupunguza malaria unampa fulfilment kubwa kuliko political office au academic jujitsu yoyote.

Mtanzania yule !
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza, ulishapata kulinganisha maoni ya kaka yangu "Pundit" na maoni yangu?

Mbona nilishasema vote CHADEMA ku close the gap na ili tusirudi kwenye single party system? Au ulitaka nisemeje ?

Last time niliangalia, ulisema hivi:

Kiranga said:
Huwezi kujua hili kwa hakika bila kuwapa muda wa kutosha kujionyesha true nature yao ndani ya upinzani. Inawezekana wamekuwa mzigo hata CCM ndiyo maana wakatoswa.

Ndiyo maana wengine tunapendekeza wapewe muda mpaka 2015 waangaliwe.
 
Last time niliangalia, ulisema hivi:

Mbona una comprehension ndogo? Au unataka ku distort mambo? Angalia nilikuwa naongelea nani wapewe muda mpaka 2015, mamluki kina Shibuda wanaotaka kuingia CHADEMA kwa sababu wamenyimwa nafasi ya kugombea ubunge CCM wasipewe nafasi kugombea ubunge CHADEMA, wapewe muda wa kuji prove mpaka 2015 ili tuone kama CHADEMA wamefuata chama na sera zake au wanataka kutumia CHADEMA kama ngazi ya kupatia ubunge bila kujali chochote kuhusu chama hiki.

Jaribu kusoma posts kabla ya kukurupuka na kuona contradiction sehemu ambayo hata hamna a whiff of contradiction. Unatuonyesha usivyo na comprehension.
 
Kweli hapa nakubali makosa nimeleta wrong quote (kwa msemo wako nimekurupuka). Quote niliyotaka kuleta ni hii hapa:

Kiranga said:
Mazee ningependa watu wengi zaidi wa vote CHADEMA, only because naamini tunahitaji mabadiliko.

Lakini at the same time siamini kwamba CHADEMA watashinda urais au kuwa na majority ya viti vya bunge. Nisingependa kuona CHADEMA wanashuka chini kutoka asilimia za kura za urais walizopata 2005 (11%) wala kupunguza viti vya bunge.

Lakini for sure CHADEMA nao bado hawako ready for prime time, ndiyo maana naona ni bora kuwe na gradual change, wapate tough love hapa, kama wana moyo wa kujifunza waweze kujifunza, labda 2015 au 2020 wataweza kuchukua nchi with confidence.
 
Kweli hapa nakubali makosa nimeleta wrong quote (kwa msemo wako nimekurupuka). Quote niliyotaka kuleta ni hii hapa:

Umeuliza

Ha ha ha,

Nasubiri kuona ukitoa conclusion kuwa .. Kikwete amethibitisha kuwa hafai kwa sasa, tuchague mtu mwingine kuwa raisi wa Tanzania

Katika post yangu uliyoileta imeandikwa

Originally Posted by Kiranga
Mazee ningependa watu wengi zaidi wa vote CHADEMA, only because naamini tunahitaji mabadiliko.

Lakini at the same time siamini kwamba CHADEMA watashinda urais au kuwa na majority ya viti vya bunge. Nisingependa kuona CHADEMA wanashuka chini kutoka asilimia za kura za urais walizopata 2005 (11%) wala kupunguza viti vya bunge.

Lakini for sure CHADEMA nao bado hawako ready for prime time, ndiyo maana naona ni bora kuwe na gradual change, wapate tough love hapa, kama wana moyo wa kujifunza waweze kujifunza, labda 2015 au 2020 wataweza kuchukua nchi with confidence.

Unataka nini zaidi kiumbe mwenye husda wewe ? Kijicho gani hiki?
 
sifa nyingine za kikwete
1.anapenda kulipiza visasi kwa maadui zake
2.anapenda kupewa sifa ambazo si zake kwa mfano kuitwa dokta wakati hajausomea
3.anpenda ummarufu sana kwa mfano obama anmjua lakini huenda obama haijui ccm, didier drogba na mastaa wa ivory cost wanamjua ila hawaijui ccm, wabrazil kama kaka,robinho wanamjua lakini hawaijui ccm
4.anakumbatia washkaji sana na anawatuma wengine kugombea kwenye majimbo
 
Unataka nini zaidi kiumbe mwenye husda wewe ? Kijicho gani hiki?

hicho ulichoweka hapa ni a qualified statement....

I would like ....BUT

Ungependa...LAKINI

"Lakini" hiyo imepinga kupenda kwako. Wewe ni mtaalamu wa lugha (kwa mtizamo wangu, and gawd you are so goood) na unajua vyema kabisa matumizi ya neno LAKINI (BUT)
 
hicho ulichoweka hapa ni a qualified statement....
I would like ....BUT

Ungependa...LAKINI

Lakini hiyo imepinga kupenda kwako. Wewe ni mtaalamu wa lugha (kwa mtizamo and gawd you are so goood) na unajua vyema kabisa matumizi ya neno LAKINI (BUT)

Hiyo ni pragmatic observation, ningependa watu wote ninaowajua wa vote CHADEMA, lakini pia sitegemei CHADEMA kushinda urais wala kupata majority ya ubunge, kwa hiyo CHADEMA ikiweza kuongeza asilimia ya kura za urais kutoka 11 za 2005, na kuongeza viti vya ubunge kutoka vile vya 2005, nitaona wamefanya vizuri. Lakini kamwe sitegemei Slaa apate 51% au CHADEMA ipate 51% ya viti.Ni kujiepushia ugonjwa wa moyo tu. Hii ni realistic observation tu, na mtu akiwa na observation hii huwezi kusema anatakia mabaya CHADEMA, huwezi kusema hataki watu wapigie kura CHADEMA,.

CHADEMA hawawezi kupata majority ya urais wala ubunge, ukibisha nitaona unaleta unazi sasa.

At the same time kuwa realist hivi haimaanishi kwamba siitakii mema CHADEMA na sitaki watu waipigie kura.
 
Malaria sugu upo? Hili ni darasa tosha kwako, una raha kweli! Yaani unasomeshwa kupitia JF bila kulipia karo. Jk ana habari hizi za kusoma kwako? Mjulishe p/se!! HEKO PINDITY KWA SOMO LILILOTULIA.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom