Mu-sir
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 3,621
- 1,629
Wakuu bosi kaniita na anahitaji CV za garduates wa Mechanical Engineering Wanaograduate mwaka huu au waliograduate mwaka jana kwa level ya Diploma na zinahitajika kesho asubuhi so If there is any one here tuma only CV kwenda mussaer@gmail.com only today.
ANGALIZO: This is an International company so wnahitaji vyuo vya serikali zaidi.
Wakuu ma MODS na Invisible naomba mnisaidie kuitangaza hii humu kwa sababu kesho asubuhi na submitt na hakuna limitation ya applicants wanaohitajika kwa sababu operations ni kubwa sana.
Thanks

Last edited by a moderator: