Mac original normal has code which normal start with T and box lake once your opening it has a sign of back 2 back!! And the cake can not brake even if you through it down!unless you do it so hard!
Hata mie sipendi msichana aliyejipiga 100% feki kuanzia kucha ya mguu hadi nywele za utosini..
Simple tu paka powder kidogo na unyunyu baaaaasii.
Waswahili wanasema "Mzuri hajipambi" wakimaanisha kuwa kama wewe mzuri huna haja ya kujipamba. Naamini Preta na wadau wengine humu jamvini ni wazuri sana, sasa hivi vitu vya kujipambia vya kazi gani?
Ili upunguze uwezekano wa kutumia vitu fake, ni muhimu kupunguza idadi ya vitu unavyotumia kwenye urembo.
Kucha bandia, nywele bandia, kope bandia, "macho" bandia, vyote vinaweza kuepukwa kwa kuanzia.
Mac original normal has code which normal start with T and box lake once your opening it has a sign of back 2 back!! And the cake can not brake even if you through it down!unless you do it so hard!
za nywele original zipo NN,ila bei yake inabidi uwe fisadi ..lolNi 'fake weave' na siyo 'weaving fake' ingawa sielewi ni jinsi gani weave linaweza kuwa fake kwa sababu weave kimsingi ni nywele feki.
hivi Smile, CUTE, Kongosho, cacico, CUTE, charminglady, FirstLady1 Erotica, Kaunga, kingasti Roulette Cantalisia, Amyner et all.....nyie mnajipaka nini....?
Safiii beibe!
exactly, dats the way i am!
aiseeeee! :bolt::spy:Yeah? Will you marry me?
kucha zangu nimekulaje sasa?? navipakaga rangi lakini! napaka ponds powder na wanja, na mac lipshin least nanunuaga pale shear illusion mlimani city, basi my dear! nywele zangu ni always natural, basi ndiyo hivyo, ila ikifika dec wakati nakwenda ukweni huwa atleast nalipuka kidogo, nashonea weaving fupi, pale kwa sandra msasani, ndiyo hivyo tu Preta, ofkoz perfumues naspray na body spray a do apply.hivi Smile, CUTE, Kongosho, cacico, CUTE, charminglady, FirstLady1 Erotica, Kaunga, kingasti Roulette Cantalisia, Amyner et all.....nyie mnajipaka nini....?
Alaaa...na sasa unajua mimi ni nani?
Amejua kuwa we ni former miss TZ Wema Sepetu.
Mkeo hajambo? Mimba yake inaendeleaje?