Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 372
naomba nianze na Mac foundation/powder......kuna za sh 5000 na sh 70000.....muonekano ni huo huo......ni jinsi gani nitagundua original ni ipi na fake ni ipi.......?
Dah hapo kweli my dear mi hua inaniwia vgumu sana kuitambua ril na fake. ngoja nipate maujanja.