Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,602
- 19,515
Mimi niliyemjulia Zitto kwenye sakata la Buzwagi tu na kuanza kumshabikia sana kuanzia wakati huo hadi kufikia kumtetea hata wakati alipokuwa akiandamwa kuhusu uhusiano wake na marehemu Amina Chifupa wakati huo aliyekuwa mke wa mtu, nimekuwa dissapointed sana kugundua kuwa mtu huyu ni populist na opportunist tu. Nimeanza kukubaliana na wote waliokuwa wakisema jamaa hana lolote la maana, kila jambo analoongea liko calculated kumnufaisha binafsi!
Badala ya kushughulikia mamabo ya nchi, na wakati wa uchaguzi ukifika ndipo ashughulike na mambo ya uchaguzi, yeye amekuwa bize kushughulika na kampein za mwaka 2015. Hii taipu ya akina Kikwete, Nixon na Romney wanaopiga kampeini kwa muda mrefu sana huwa ni watu hatari sana wanapoingia madarakani.
Sijui kama kuna watu wengine wa aina yangu.