Urais wa ZZK 2015: Ngoma Ikivuma Sana...!.

... Inakaribia Kupasuka!.
Preamble: Mimi ni supporter wa ZZK kwenye urais 2015, ila kwa jinsi hii ngoma inavyovurumishwa na kuzidi kutoa mlio mkubwa humu jf, hii ni ishara mbaya kuwa hii ngoma inakaribia kupasuka!.

ZZK: Namkubali sana tuu ila natatizwa na determination yake ya kuwa a "dare devil!" bila kutoa sababu and once defeated anajinyamazia kimya bila kutoa sababu!. "Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga!".

ZZK alipofanya atempt ya kumvaa Mbowe kwenye Uenyekiti wa Chadema, alikurupuka bila kutoa sababu, na alipojitoa hakutoa sababu za kujitoa!. Ndivyo vivyo hivyo 2010 alipotishia kutogombea Kigoma!, akatishia kutafuta jimbo lolote, na sasa anatishia tena 2015 kutogombea tena ubunge bali kugombea urais kupitia Chadema!.

The proper way ilikuwa sio yeye kutangaza nia bali kuwaonyesha Chadema kwa vitendo kuwa anaweza na ni kwa kupitia vitendo hivyo vya kuonyesha uwezo, ndipo Chadema waonyeshe kuwa wanamhitaji ZZK kupeperusha bendera yake 2015, not the other way round!.

Kwa vile mpiga ngoma hii mkubwa ni ZZK mwenyewe na ikitokea ngoma hii kupasuka kiukweli, then itakuwa ni haki tukisema aliyeipasua ngoma ya ZZK kwenye urais wa 2015 ni ZZK mwenyewe hivyo wapenzi wa ZZK ngoma ikishapusuka, nawaombeni sana msitafute mchawi!.

Pasco.

Udhaifu wa ZZK

- Anatishia kuwataja walioficha pesa Uswiss, Kama anawajua why not mention them like LIST oF SHAME!!!!

-Tume ya Bomani alikuwa Member na bado tunaibiwa madini

-Hashiriki M4C ... So wananchi hawamwoniiii

- Anajiproud zaidi yeye na sio Chama

-Utajiri alio nao ni hatari kwa kiongozi

-Anazunguka zunguka na Vasco Da Gama, why..... Anafurahia adui kuwapiga CDM mabomuuuuuu... Kwa nini hakulaani mauaji ya Morogoro na Iringa????
 
Sasa Pasco utachanika msamba, Zitto akiwa mgombea Urais hata kwa kupitia UPDP ( maana ni ndogo za mchana Chadema kuwa na mgombea kama Zitto ) na Lowasa akawa mgombea wa CCM je kura yako unaipeleka wapi?
matola hahaha upo mdau? ... Tunataka sera yakinifu za kila mgombea atafanya nini 1. Uchumi 2. Ajira 3. Afya 4. Elimu 5. Urbanisation problem 6. mapinduzi ya kilimo. Ndio tumfikirie huyu mtu uadilifu wake ndipo wananchi waone anafaa vipi
 
hivi mtu huwa anajihitaji mwenyewe? au uamuzi wa baraza mbali mbali, ndipo ateuliwe, huyu ZZK aendelee kutumikia wananchi labda anaweza kupewa U-Waziri mkuu, lakini kwenye Urais bado sana.
 
Unaweza ukadhani wananchi walikosea kukunyima kura jimboni kumbe ni kwa vile mgombea alikuwa bomu, hajatulia kama wewe chama kikikurudisha tena kitakuwa kimehesabu jimbo la kwanza kupoteza hata kama CCM kitaweka jiwe, Nchi itaongozwa kwa matamko ya facebook na twitter?
kwa mfano wapi amepwaya?. zitto ni rais wangu na masikini wenzangu
 
... Inakaribia Kupasuka!.
Preamble: Mimi ni supporter wa ZZK kwenye urais 2015, ila kwa jinsi hii ngoma inavyovurumishwa na kuzidi kutoa mlio mkubwa humu jf, hii ni ishara mbaya kuwa hii ngoma inakaribia kupasuka!.

ZZK: Namkubali sana tuu ila natatizwa na determination yake ya kuwa a "dare devil!" bila kutoa sababu and once defeated anajinyamazia kimya bila kutoa sababu!. "Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga!".

ZZK alipofanya atempt ya kumvaa Mbowe kwenye Uenyekiti wa Chadema, alikurupuka bila kutoa sababu, na alipojitoa hakutoa sababu za kujitoa!. Ndivyo vivyo hivyo 2010 alipotishia kutogombea Kigoma!, akatishia kutafuta jimbo lolote, na sasa anatishia tena 2015 kutogombea tena ubunge bali kugombea urais kupitia Chadema!.

The proper way ilikuwa sio yeye kutangaza nia bali kuwaonyesha Chadema kwa vitendo kuwa anaweza na ni kwa kupitia vitendo hivyo vya kuonyesha uwezo, ndipo Chadema waonyeshe kuwa wanamhitaji ZZK kupeperusha bendera yake 2015, not the other way round!.

Kwa vile mpiga ngoma hii mkubwa ni ZZK mwenyewe na ikitokea ngoma hii kupasuka kiukweli, then itakuwa ni haki tukisema aliyeipasua ngoma ya ZZK kwenye urais wa 2015 ni ZZK mwenyewe hivyo wapenzi wa ZZK ngoma ikishapusuka, nawaombeni sana msitafute mchawi!.

Pasco.

Hahahaha leo leo Pasco katoa point naa nimemkubali Mkuu ahsante sana,naongeza tu hii ingine wakati ZITTO ZUBERI KABWE anamaliza masomo yake pale Ujerumani aliwaambia wanafunzi wenzake kuwa sitagombea tena ubunge pia sitaki tena mambo ya siasa then baada ya kipindi cha uchaguzi mwaka 2010 wale wenzake walishangaa kumuona/kusikia kuwa Zitto anagombea ubunge to the same place wengi wao wakasema Lol!!this guy he was not serious yaani kwa pale chuoni alikuwa anajitapatapa sana mikogo ya kila aina so kwa ufupi ni kwamba yeye kama kweli ana nia kwa nini anatoa mapovu pia hivi amesahau kuwa chama kina katiba yake na jinsi ya kumpata mgombea wa Urais hata kama wakati huo katiba itasema kuanzai miaka 35 hadi 150 mtu anaweza kugombea Urais lakini je chama chake kikimpata mwingine atasemaje?
Mie namkubali sanaa huyu jamaa na CHADEMA kwa ujumla lkn hii ya kukurupuka ndio sipendi sana,kwa kawaida mtu anayejiamini hasemi sana ni sawa na ule usemi usemao Mbwa mkali habweki yeye ni action tu so Kamanda ZZK pole pole.Big up Pasco kwa ukweli leo nimependa tena uzi wako
 
Hakiamungu ZITO siyo unaonewa, unalo tatizo.! ''the more it goes, the more it fades'' said the ancients.
 
Zitto ni kweli amesoma na ana hoja ila misunderstanding zake zinawachanganya watu hasa vijana
 
Zitto hana msimamo na ni mtu wa kukurupuka mwenye uchu wa madaraka hakika hafai kuwa raisi.!!!! Atulize kichwa ajipange upya.gud points
 
Ni ZZK pekee ndo anawajua walioficha pesa USWISIIII

Je huyo Sumaye anasema ameonewa mbona hawataji hao mafisadi wenye mafweza Uswisiii.
 
Kwa Tanzania sishangai, hatuwezi kuwa na rais goigoi kama Jakaya yoyote atakayepata atakuwa bora zaidi ya huyu tuliyenae .... whether Zito atagombea au la cha msingi mwenye sifa na uwezo wa kuondoa uozo wa mikataba mibovu ambayo imekumbatiwa na JK ndiye atafanikiwa zaidi kwa sababu wananchi wameshashituka.
 
ipasuke mara 2 yeye aliunda p7 na masalia kuipasua
Sasa ashauriwe kuwa mgombea urais atapitishwa chama cha masalia au p7 au cha wachawi cha kua mpaka panya kwa kosa la mwingine sio CHADEMA wala CCM Anayoitumikia usiku or as parttime duty asahau kuwa rais Tz
 
Kwa Tanzania sishangai, hatuwezi kuwa na rais goigoi kama Jakaya yoyote atakayepata atakuwa bora zaidi ya huyu tuliyenae .... whether Zito atagombea au la cha msingi mwenye sifa na uwezo wa kuondoa uozo wa mikataba mibovu ambayo imekumbatiwa na JK ndiye atafanikiwa zaidi kwa sababu wananchi wameshashituka.
Mkuu Wacha1, please leave JK out of this!, kwa 2015, JK sio mgombea!, aliyeleta uiozo na mikataba mibovu sio JK!. ukiondoa Richmond, mingine yote kaikuta na ataiacha!, na atakayekuja naye ataikuta na ataondoka ataiacha!. Wananchi wepi hao walioshashtuka?, na wameshtukia nini?.
 
Zitto hana msimamo na ni mtu wa kukurupuka mwenye uchu wa madaraka hakika hafai kuwa raisi.!!!! Atulize kichwa ajipange upya.gud points
.
La kukurupuka sawa!, lakini hili la uchu wa madaraka, utafiti unaonyesha, wenye uchu wa madaraka, wakishayapata, hutulia amd make the best presidents ever!.
 
Back
Top Bottom