Urais wa ZZK 2015: Ngoma Ikivuma Sana...!.

Pasco umegonga pwenti, endapo ZZK anakusoma bila shaka atalazimika kutazama upya strategies zake ili aziboreshe zaidi.
Sijawahi kuona tatizo la Mtanzania yeyote kuwa na nia ya kugombea uraisi wa nchi yetu almuradi ataweza kuongoza na kushirikisha wananchi kukabiliana na changamoto mingi zinazokwaza Watanzania. Ukiachilia mbali CCM ambayo imekaa madarakani miaka 50 ambayo haijatosha kuwanasua watanzania kwenye lindi la umasikini zaidi ya kuwajengea utengano na matabaka kwa misingi ya kisiasa na kidini hususani miaka 6 iliyopita, wagombea uraisi kupitia upinzani hawajafanya jitihada za kutosha kuwaelimisha wapiga kura kuhusu haki zao za uraia. CHADEMA ndio pekee wanaojitahidi kusambaza elimu hii kwa sasa. Kule ZNZ chama cha wananchi kilifanya kazi hii vema na kinastahili pongezi kwa hilo. Hivyo basi, ZZK kama kweli ana dhati ya kuwa raisi wa Tanzania hana budi kusikiiza sauti ya Pasco ili arekebishe "strategies" zake. Vinginevyo ngoma LAZIMA IPASUKE pwaaaaaaaaaaaaaaaaa!

na imepasuka pwaaaaaaaa
 
Mkuu BAK, mimi ni mwanahabari, hivyo ethics zetu haziniruhusu to take sides, ila naruhusiwa kusupport hata ku endorse baadhi ya wagombea. Kwa CCM ni EL, kwa Chadema ni ZZK kwa sababu msimamo wa Dr. Slaa naujua, na sio kwa kuambiwa, bali kusikia with my own ears from the "horses mouth" himself!. Na kwa CUF namsupport Jussa!.

Tena ZZK should learn from Jussa, anajua kabisa Maalim Seif ni hoi bin taaban, ngoma ya 2015 hawezi kuicheza, amezidi kujiweka karibu nae ili ampokee kwa heshima!.

Ningekuwa mimi ni ZZK na nina nia ya dhadi kuwa mgombea wa CDM 2015, ningekuwa benet na Dr, na kuhudhiria ziara zote za M4C!, ili Dr. ndiye amnyanyue mkono na kumtambulisha kuwa huyu kijana atatufaa kwa 2015!, na sio ZZK kujipigia debe mwenyewe!.

Mfano Ndesamburo hawezi tena kugombea Moshi mjini 2015!, whoever anayeutaka ubunge wa Moshi mjini, lazima ashikwe mkono na Ndesa!. Yeyote ambaye Ndesa atamshika mkono, ndiye mbunge wa Moshi mjini!.

Vivyo hivyo kwa Vunjo, Lyatonga hawezi tena kugombea, 2015, bali whoever atakayeshikwa mkono na Mrema, huyo ndiye mbunge wa Vunjo!.

P.

hapa nimeunga mkono hoja asilimia 100
ifike mahali tukubaliane na hali halisi
 
Zitto angepata wasaa wa kusoma comment kama hizi angejengeka sana . Tatizo anakundi ambalo akipost jambo wanamshabikia ile mbaya, yaani ni kama anaanzisha jambo halafu anajiunga mkono mwenyewe kupitia kundi lake hata kama jambo lenyewe ni baya.

Nakubaliana sana nawe kaka,tumekuwa na wanasiasa wasiotaka kukosolewa na wao ni kila kitu wanajua ni mbaya sana kwa mtu mwenye malengo ya kufika mbali,na mbaya zaidi wanasikilizahoja husika inatolewa na nani ndipo wachukue hatua za kujibizana au malumbano,wakati mwingine vema kukaa kimya ili kuruhusu ufahamu kutafakari mambo kwa kina.
 
... Inakaribia Kupasuka!.
Preamble: Mimi ni supporter wa ZZK kwenye urais 2015, ila kwa jinsi hii ngoma inavyovurumishwa na kuzidi kutoa mlio mkubwa humu jf, hii ni ishara mbaya kuwa hii ngoma inakaribia kupasuka!.

ZZK: Namkubali sana tuu ila natatizwa na determination yake ya kuwa a "dare devil!" bila kutoa sababu and once defeated anajinyamazia kimya bila kutoa sababu!. "Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga!".

ZZK alipofanya atempt ya kumvaa Mbowe kwenye Uenyekiti wa Chadema, alikurupuka bila kutoa sababu, na alipojitoa hakutoa sababu za kujitoa!. Ndivyo vivyo hivyo 2010 alipotishia kutogombea Kigoma!, akatishia kutafuta jimbo lolote, na sasa anatishia tena 2015 kutogombea tena ubunge bali kugombea urais kupitia Chadema!.

The proper way ilikuwa sio yeye kutangaza nia bali kuwaonyesha Chadema kwa vitendo kuwa anaweza na ni kwa kupitia vitendo hivyo vya kuonyesha uwezo, ndipo Chadema waonyeshe kuwa wanamhitaji ZZK kupeperusha bendera yake 2015, not the other way round!.

Kwa vile mpiga ngoma hii mkubwa ni ZZK mwenyewe na ikitokea ngoma hii kupasuka kiukweli, then itakuwa ni haki tukisema aliyeipasua ngoma ya ZZK kwenye urais wa 2015 ni ZZK mwenyewe hivyo wapenzi wa ZZK ngoma ikishapusuka, nawaombeni sana msitafute mchawi!.

Pasco.

Mkuu Pasco hili lilikuwa limenipita, kumbe ukulikuwa na Maneno adimu kiasi hiki!

Hivi ZZK hili hakuliona au aliipuuzia!
 
Last edited by a moderator:
Haya mambo bwana,yani et mnajadili urais wa mtu ambaye ni mtoto hajafikisha umri 45,au wamepunguza?,ccm wakiwaponda mnaona kama wanawaonea.Acheni hizo bwana,dogo kakipasua chama ama kwa kujua ama kwa kutojua.SIJAPENDA MIMI KWAKWELI.Watu wamebaki wanalia,hadi sina imani tena na CHADEMA,bora vijana tuanzishe FREE YOUTH LIBELION MOVEMENT.Tumechoka na upuuzi wa vyama huu,"stupid intellectuals at the hill"
 
... Inakaribia Kupasuka!.
Preamble: Mimi ni supporter wa ZZK kwenye urais 2015, ila kwa jinsi hii ngoma inavyovurumishwa na kuzidi kutoa mlio mkubwa humu jf, hii ni ishara mbaya kuwa hii ngoma inakaribia kupasuka!.

ZZK: Namkubali sana tuu ila natatizwa na determination yake ya kuwa a "dare devil!" bila kutoa sababu and once defeated anajinyamazia kimya bila kutoa sababu!. "Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga!".

ZZK alipofanya atempt ya kumvaa Mbowe kwenye Uenyekiti wa Chadema, alikurupuka bila kutoa sababu, na alipojitoa hakutoa sababu za kujitoa!. Ndivyo vivyo hivyo 2010 alipotishia kutogombea Kigoma!, akatishia kutafuta jimbo lolote, na sasa anatishia tena 2015 kutogombea tena ubunge bali kugombea urais kupitia Chadema!.

The proper way ilikuwa sio yeye kutangaza nia bali kuwaonyesha Chadema kwa vitendo kuwa anaweza na ni kwa kupitia vitendo hivyo vya kuonyesha uwezo, ndipo Chadema waonyeshe kuwa wanamhitaji ZZK kupeperusha bendera yake 2015, not the other way round!.

Kwa vile mpiga ngoma hii mkubwa ni ZZK mwenyewe na ikitokea ngoma hii kupasuka kiukweli, then itakuwa ni haki tukisema aliyeipasua ngoma ya ZZK kwenye urais wa 2015 ni ZZK mwenyewe hivyo wapenzi wa ZZK ngoma ikishapusuka, nawaombeni sana msitafute mchawi!.

Pasco.
Hii ngoma imevuma sana, jana imetangazwa kupasuka!, bado siamini kama ndio imepasuka!, hii ngoma jameni bado mbichi!.

Pasco
 
Amebakiza karata moja tu akikosea uamuzi wa ni wapi aende baada ya kutimuliwa CDM au akifika huko makao mapya alafu akaendeleza bifu na CDM wakti wote wakiwa vyama vya upinzani atakuwa amebugi step ingawa ccm itashangilia vita vya panzi.
 
ImageUploadedByJamiiForums1426331306.984711.jpg

Rais wa wapi?
 
... Inakaribia Kupasuka!.
Preamble: Mimi ni supporter wa ZZK kwenye urais 2015, ila kwa jinsi hii ngoma inavyovurumishwa na kuzidi kutoa mlio mkubwa humu jf, hii ni ishara mbaya kuwa hii ngoma inakaribia kupasuka!.

ZZK: Namkubali sana tuu ila natatizwa na determination yake ya kuwa a "dare devil!" bila kutoa sababu and once defeated anajinyamazia kimya bila kutoa sababu!. "Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga!".

ZZK alipofanya atempt ya kumvaa Mbowe kwenye Uenyekiti wa Chadema, alikurupuka bila kutoa sababu, na alipojitoa hakutoa sababu za kujitoa!. Ndivyo vivyo hivyo 2010 alipotishia kutogombea Kigoma!, akatishia kutafuta jimbo lolote, na sasa anatishia tena 2015 kutogombea tena ubunge bali kugombea urais kupitia Chadema!.

The proper way ilikuwa sio yeye kutangaza nia bali kuwaonyesha Chadema kwa vitendo kuwa anaweza na ni kwa kupitia vitendo hivyo vya kuonyesha uwezo, ndipo Chadema waonyeshe kuwa wanamhitaji ZZK kupeperusha bendera yake 2015, not the other way round!.

Kwa vile mpiga ngoma hii mkubwa ni ZZK mwenyewe na ikitokea ngoma hii kupasuka kiukweli, then itakuwa ni haki tukisema aliyeipasua ngoma ya ZZK kwenye urais wa 2015 ni ZZK mwenyewe hivyo wapenzi wa ZZK ngoma ikishapusuka, nawaombeni sana msitafute mchawi!.

Pasco.

Ama kwa kweli mbio za sakafuni huishia ukingoni. Tatizo kubwa la ZZK ndani ya cdm ni kuung'oa uongozi uliopo na kubandika mamluki wake huku yeye akiwa mwenyekiti wake.

Uraisi katiba kimeo!
 
P. kwa nini siku zote umekuwa mtetezi sana wa Zitto? sijawahi kuona ukipingana na hoja ya Zitto hata za kizushi kama zile za watu mia kuuawa, hata zile za kusena serikali haina chakula na watu wataanza kufa kwa njas, tulishasubiri hadi leo hatujaona hayo aliyo yasema, lkn nikuulize swali, Zitto mkoje naye mkuu na huwa anakupa nini hadi usimuone kuwa anachotaka muda wote ni political attention, leo unamtaja mbunge makini? jana kasema wanataka kumweka ndani kabla ya uchaguzi, ana nguvu gani hadi magu amuogope, wakati uchaguzi uliopita chama chake kilipata asilimia ambazo hazitajiki, je, Lissu atasemaje kama hata Zitto ni threat kwa uchaguzi ujao? hebu leo tuweke wazi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Jiforopolitiki, karibu mitaa hii uone jinsi nimavyomsifu Zitto na kumfagilia.
P
 
... Inakaribia Kupasuka!.
Preamble: Mimi ni supporter wa ZZK kwenye urais 2015, ila kwa jinsi hii ngoma inavyovurumishwa na kuzidi kutoa mlio mkubwa humu jf, hii ni ishara mbaya kuwa hii ngoma inakaribia kupasuka!.

ZZK: Namkubali sana tuu ila natatizwa na determination yake ya kuwa a "dare devil!" bila kutoa sababu and once defeated anajinyamazia kimya bila kutoa sababu!. "Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga!".

ZZK alipofanya atempt ya kumvaa Mbowe kwenye Uenyekiti wa Chadema, alikurupuka bila kutoa sababu, na alipojitoa hakutoa sababu za kujitoa!. Ndivyo vivyo hivyo 2010 alipotishia kutogombea Kigoma!, akatishia kutafuta jimbo lolote, na sasa anatishia tena 2015 kutogombea tena ubunge bali kugombea urais kupitia Chadema!.

The proper way ilikuwa sio yeye kutangaza nia bali kuwaonyesha Chadema kwa vitendo kuwa anaweza na ni kwa kupitia vitendo hivyo vya kuonyesha uwezo, ndipo Chadema waonyeshe kuwa wanamhitaji ZZK kupeperusha bendera yake 2015, not the other way round!.

Kwa vile mpiga ngoma hii mkubwa ni ZZK mwenyewe na ikitokea ngoma hii kupasuka kiukweli, then itakuwa ni haki tukisema aliyeipasua ngoma ya ZZK kwenye urais wa 2015 ni ZZK mwenyewe hivyo wapenzi wa ZZK ngoma ikishapusuka, nawaombeni sana msitafute mchawi!.

Pasco.
Leo ni HBD ya huyu mwamba.
HBD ZZK.
P
 
Hata hii ngoma Zitto anayoipiga sasa, inarindima sana...
Hiki anachofanya Zitto, is not right at all, hata kama ni kweli, huwezi kumtuhumu mtu asiyeweza kujitetea kwa tuhuma nzito hivi, naona sasa Zitto anaitafuta karma fulani hivi.. ambayo... halafu ikitokea, bado watu watajifanya kushangaa kama ilivyotokea kwa naniliu !.
P
 
ZZK: Namkubali sana tuu ila natatizwa na determination yake ya kuwa a "dare devil!" bila kutoa sababu and once defeated anajinyamazia kimya bila kutoa sababu!. "Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga!".

Kwa vile mpiga ngoma hii mkubwa ni ZZK mwenyewe na ikitokea ngoma hii kupasuka kiukweli, then itakuwa ni haki tukisema aliyeipasua ngoma ya ZZK ni ZZK mwenyewe hivyo wapenzi wa ZZK ngoma ikishapusuka, nawaombeni sana msitafute mchawi!.

Pasco.
Nime note Zitto anatajwa tajwa sana humu jukwaani, na kuvuma Sana kama ngoma.

Nikaona na mimi nijikumbushe niliwahi kuandika nini kumhusu mtu huyu.
All and all, huyu Zitto sio mtu wa mchezo mchezo, he is a man to watch very closely!, sio mtu wa kawaida!.

Kitu ninacho chelea, ni ngoma ikivuma sana.
P
 
Back
Top Bottom