Urais 2015: Tundu Lissu atafaa zaidi CHADEMA

Lisu ni zaidi ya Battalion ya makomandoo walioko ya pale Sanga Sanga... amethibitisha hilo na anaendelea kututhibitishia kuwa uwezo wake ni next level... akina kigwangala wajipange sana SIYO kuchukua notice wakati Lisu anaongea kama Mwakyembe...
 
Labda Nchi ya kusadikika, Tanzania haiwezi kuongozwa na mwehu yeyote kutoka CHADEMA.

nilikuwa MSALANI nikasikia redio uhuru inatangaza kuwa ccm wamepanga mwanamke ashike hatamu za uongozi na shoza anafaa
 
Last edited by a moderator:
Lisu ni zaidi ya Battalion ya makomandoo walioko ya pale Sanga Sanga... amethibitisha hilo na anaendelea kututhibitishia kuwa uwezo wake ni next level... akina kigwangala wajipange sana SIYO kuchukua notice wakati Lisu anaongea kama Mwakyembe...

mwakyembe anajifanya siyo yeye aliandika ile thiesis, lisuuuuuuuu prof.
 
Labda Nchi ya kusadikika, Tanzania haiwezi kuongozwa na mwehu yeyote kutoka CHADEMA.

Huna adabu we gamba na j3 mtazima mpaka umeme lakini watanzania wa leo sio mliowaambia vyama vingi vitaleta vita nchini 1992
 
Kweli chadema mmeishiwa kama mnaona Bw.Tundaman kissu ndo hazina ya chama kugombea urais hapo mbeleni.
Na kama mna hayo mawazo poleni sana.
 
Sijawahi kuwa mpenzi wa mijadala ya watu.Never!

-However,Sitapita hivi hivi

-Hakuna ubishi kuwa Tundu Lissu ni Aina ya wanasiasa nadra tuliowahi kuwa nao nchini

-Nakua inspired sana na umaahiri wake katika sheria,siasa na harakati.Ni miongoni mwa wanasiasa wasomi wanaotumia taaluma zao vizuri na kufanya siasa kulingana na Taaluma zao.Misimamo yake mikali na ujasiri,inanivutia zaidi kuliko kitu kingine.My Comrade....! ! ! Na hata yeye anajua hivyo!

-Hakuna shaka kuwa Msomi Tundu Lissu ana uwezo wa kuongoza Taasisi yoyote nchini.Huu ni mtazamo wangu binafsi,Nisihukumiwe/nisiadhibiwe.

-Linapokuja suala la Urais au uongozi wa juu wa nchi au chama,tunarejea kwenye katiba ya chama chetu.Kuna principles,kuna kanuni na taratibu za kufuata kutimiza matakwa ya kidemokrasia

-Mahitaji ya wakati husika hayawezi kupuuzwa

Ben Saanane -Nimeandika .

12/02/2014

Acha uoga dogo.....
Kama mvuta bangi ndio role model wako let it be known.
Subiri rungu LA SLAA.
............... Dhambi ya ubaguzi haitawaacha. Na itawatafuna milele
 
Acha uoga dogo.....
Kama mvuta bangi ndio role model wako let it be known.
Subiri rungu LA SLAA.
............... Dhambi ya ubaguzi haitawaacha. Na itawatafuna milele

Kuvuta bangi ?Kama mvuta Bangi anaweza kupigania mabadiliko kuliko sober chaps basi mvuta bangi huyo anafaa na nitamuunga mkono bila kujali consequences!
 
Back
Top Bottom