Urais 2015: Tundu Lissu atafaa zaidi CHADEMA

Ta Muganyizi, umekalia kidole cha kati...

Lowassa kama Yesu, utakufa kwa ujinga wako...

Lissu bado sana kuwa Rais..anakurupuka sana....Lissu mwisho kuwa Waziri wa Sheria tu, hatakiwi zaidi ya hapo... au ww kaoa dada yako...!?
 
Ukawa hata wakisimamisha jiwe nawapigia kura.
Kuichagua ccm ni sawa na kurudisha wizi upya.
 
Ta Muganyizi, umekalia kidole cha kati...

Lowassa kama Yesu, utakufa kwa ujinga wako...

Lissu bado sana kuwa Rais..anakurupuka sana....Lissu mwisho kuwa Waziri wa Sheria tu, hatakiwi zaidi ya hapo... au ww kaoa dada yako...!?

Karibu JF...........mie nimetoa maoni yangu na sio amri....sasa wewe ulipotoa ya kwako hapo unataka nikujibu je? Mie mkongwe tayari. Sikujibu vibaya wala nini baadae utakuwa civilized, siendi unakonipeleka. Asante sana karibu sana JF, kuna jinsi ya kuchangia hapa JF ili tuwe na server kubwa ya kuposti madini mazuri kama haya uliyopost wewe.Tarehe 11
August unatimiza mwezi mmoja kwa hiyo ID. Good day
 
Kaka yangu Ta muganyizi..sote tunaichukia CCM kuliko Lowassa..tulia Lowassa atuondolee hili zimwi linaloitwa CCM
 
Back
Top Bottom