Chama aanzishe Mtei na mkaza mwana Mbowe, urais uende Singida! mnacheza nyie!
siyo "alikuwa" bali "ana".........mbona jk hakuwekewa pingamizi? Wakati alikuwa ana ugowanjwa wa kuanguka ovyo?
Wana JF napendekeza Mh Tundu Lisu ateuliwe kugombea kiti cha urais katika uchaguzi wa mwaka 2015,ninaimani upinzani utachukua nchi nini maoni yako ewe Great thinker?
Nawakilisha
Wana JF napendekeza Mh Tundu Lisu ateuliwe kugombea kiti cha urais katika uchaguzi wa mwaka 2015,ninaimani upinzani utachukua nchi nini maoni yako ewe Great thinker?
Nawakilisha
Kabla hamjamuendorse JK quality zake zilikuwa zipi?mimi nafikiri mtu yoyote anayeijua sheria up to the details anafaa kuwa rais wa nchi ktk kuhakikisha katiba ya nchi inalindwa na mikataba ya rasilimali mbalimbali inayoleta tija kwa taifa inaingiwa.Tatizo marais wengi wanapitisha maazimio mengi ya kisheria ambayo yanatugharimu just because hawana knowlegde ya kutosha kisheria!Mkuu MAPUMA MIYOGA, Taasisi ya presidency nionavyo mimi ni complex sana. Unahitaji mtu mwenye multiple gifts katika hulka yake kwa maana ya proficiency ambayo ni multidisciplinary. a good orator, pasipo genius katika maeneo mengine unapata rais mbaya. Tundu lisu is a good orator, he is a good legal person. Tunahitaji muda kujua quality zake nyingine kabla ya kumu-endorse for president.
Nafasi ya waziri wa sheria anapita bila kupinga. Kwa hiyo tuombe Mungu idadi ya wabunge ivuke nusu ya wabunge wanaotakiwa bungeni, na DR. Slaa au mtu mwingine katika Chadema apate ushindi kwenye nafasi ya rais. Tundu Lisu should fit squarely kwenye nafasi ya Waziri fulani bila kupingwa--hasa hasa nafasi ya Sheria. But President? tunahitaji muda zaidi kumsoma....
Mkuu MAPUMA MIYOGA, Taasisi ya presidency nionavyo mimi ni complex sana. Unahitaji mtu mwenye multiple gifts katika hulka yake kwa maana ya proficiency ambayo ni multidisciplinary. a good orator, pasipo genius katika maeneo mengine unapata rais mbaya. Tundu lisu is a good orator, he is a good legal person. Tunahitaji muda kujua quality zake nyingine kabla ya kumu-endorse for president.
Nafasi ya waziri wa sheria anapita bila kupinga. Kwa hiyo tuombe Mungu idadi ya wabunge ivuke nusu ya wabunge wanaotakiwa bungeni, na DR. Slaa au mtu mwingine katika Chadema apate ushindi kwenye nafasi ya rais. Tundu Lisu should fit squarely kwenye nafasi ya Waziri fulani bila kupingwa--hasa hasa nafasi ya Sheria. But President? tunahitaji muda zaidi kumsoma....
Walioko madarakani wajiandae kwa kesi za kudhulumu haki za wananchi mf haki za kuishi, haki za kukusanyika bila bughudha na uhujumu wa uchumi.Pia tutashuhudia magonjwa kama strokes,pressure za kupanda,magonjwa ya moyo,kisukari nk kwa walioko madarakani.RIP zitakuwa nyingi,ukizingati wameshajitengea maeneo ya maziko na fedha za mazishi baada ya kuona wapinzani (CHADEMA) wanaweza kuingia ikulu halafu wao wakakosa hata wa kuwazika.Wana JF napendekeza Mh Tundu Lisu ateuliwe kugombea kiti cha urais katika uchaguzi wa mwaka 2015,ninaimani upinzani utachukua nchi nini maoni yako ewe Great thinker?
Nawakilisha