Urais 2015: Tundu Lissu atafaa zaidi CHADEMA

Tundu Lissu ni kiongozi lakini sio uraisi, kwa sababu ni mchunguzi wa vitu mpaka vile vidogo vidogo vya kumezea tu
 
Ni Vema ila Chama ndio kiamue. Binafsi namkubali sana huyu Jamaa. Ni mtetezi wa haki za wanyonge na mzalendo wa kweli kwa nchi yake.
 
If wishes were horses...

Hivi unadhani Dr Slaa na Bw Mbowe hawatakuwekea pingamizi katika swala lako hili ? Weee nani hiii.... Sijui Matope ?
 
Kwani anatokea kanda ile ya nanii?
Asahau urais angekuwa wa pale naniii labda
 
JK alisema"bora Dr slaa kuwa rais kuliko TUNDULISU kuwa mbunge"

ko unataka JK akimbie nchi mapema,
kweli wewe humpendi.
 
Namkubali sana tundu lissu! Höngera wana singida kwa kutuletea jembe hili, nadhani anafaa hata kugombea urais kama akipitishwa na chama!
 
Zile jazba itakuwaje? Ila watu hubadilika

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
JK alisema"bora Dr slaa kuwa rais kuliko TUNDULISU kuwa mbunge"

ko unataka JK akimbie nchi mapema,
kweli wewe humpendi.

JK mkanda kwelikweli?Anaipiga kasakazini vijembe ila wamethibitisha kuwa masters wake. Tazama Lowasa,Tazama Dr.Slaa....

Najribu tuu kufikiri kigambagamba kam hiyo logic itanifikisha wapi..ha ha.
 
If wishes were horses...

Hivi unadhani Dr Slaa na Bw Mbowe hawatakuwekea pingamizi katika swala lako hili ? Weee nani hiii.... Sijui Matope ?

Siitaji kujua kama kutakuwa na vipingamizi vya DK na Mh mbowe ila ni maoni yangu kwa kuzingatia acountability na ukweli wa kutosha aliyonayo Mh Lisu,
 
Ni Vema ila Chama ndio kiamue. Binafsi namkubali sana huyu Jamaa. Ni mtetezi wa haki za wanyonge na mzalendo wa kweli kwa nchi yake.

Mkuu MAPUMA MIYOGA, Taasisi ya presidency nionavyo mimi ni complex sana. Unahitaji mtu mwenye multiple gifts katika hulka yake kwa maana ya proficiency ambayo ni multidisciplinary. a good orator, pasipo genius katika maeneo mengine unapata rais mbaya. Tundu lisu is a good orator, he is a good legal person. Tunahitaji muda kujua quality zake nyingine kabla ya kumu-endorse for president.

Nafasi ya waziri wa sheria anapita bila kupinga. Kwa hiyo tuombe Mungu idadi ya wabunge ivuke nusu ya wabunge wanaotakiwa bungeni, na DR. Slaa au mtu mwingine katika Chadema apate ushindi kwenye nafasi ya rais. Tundu Lisu should fit squarely kwenye nafasi ya Waziri fulani bila kupingwa--hasa hasa nafasi ya Sheria. But President? tunahitaji muda zaidi kumsoma....
 
Inputs kama hizi ndizo zinahitajika kama mchango kwa Taifa hili,thanks
 
Pia na yeye kuwa n ahiyo desire....Lissu ninanvyo mfahamu hawezi shawishika na thread km hizi.Kwani hadi hapa yupo powerful sana ndani ya CDM.So powerful kuliko hata Zitto na wengine.Ukitaka jua wakosee makosa yasiyomwingia Lissu Kichwani.

Lissu yupo smart enough kujua kwa sasa chama kinataka nini?na lini itakuwa muda muafaka kwake kutaka urais.hawezi weka heshima yake rehani mapema hivyo.
 
Tundu Lissu ni kiongozi lakini sio uraisi, kwa sababu ni mchunguzi wa vitu mpaka vile vidogo vidogo vya kumezea tu
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]

Ndugu nahavache nikweli kabisa anafaa kuwa na mtu wa kumcontrol vinginevyo inaweza leta mtafaruku kwenye nchi maana atapeleka watu mahakamani sana kitu ambacho kinaweza leta shida kwataifa, alafu nisalimie wale jamaa pale milimani waambie wanachelewesha mabadiliko, habari za "iki tuneketadhe" zimepitwa na wakati waamuke.
 
Hahaha hahaha hahahaaaaa !
Weeee vashinghee duu ambuu henacho tharii vengojea kidheee....

Miraaa ilo udhuvaaa la mwaka 2015 Same - Mashariki & Magharibi nnetakoma mndhuuu venikietia igambaaa weee shighaaa duu...
 
mzee in fact tunahitajika kuunganisha nguvu sote kwapamoja tuwaelimishe wale wazee wanatucheleweshea mabadiliko kuna vijiji havijawahi ona maji ya bomba tangu mwaka kupata uhuru, mbunge hana output yoyote hata wenzake wameshanza kumstukia, tugwirareni vafumwa tushighe vurundu.
 
Back
Top Bottom