Lingine lipo mbona, "shemela"Hivi ilikuwaje kwenye lugha ya kiswahili mpaka mke wa kaka akaitwa "shemeji" kwa ndugu wote wa mume yaani wakiume, na wa kike wanamwita "wifi". Ila mume wa dada akaitwa "shemeji" na jinsia zote mbili!?!
Inamaana walikosa kabisa jina lingine!?! π€
Ikiwezekana msamiati huu utumike nchi nzima. Hii mambo ya kuitana shemeji wanaume ni kama haijakaa sawa hivi.Kwa Kiswahili fasaha cha Pwani, neno MWAMU hutumika kumuita mume wa dada. Naye anakuita hivyo hivyo kaka wa mke wake. Hii inaepusha kumuita shemeji mwanaume mwenzako. Msamiati huu hutumika sana mikoa ya Pwani, Tanga baadhi ya maeneo, Lindi, Mtwara na Ruvuma hasa wilaya ya Tunduru.
ππππππππππIkiwezekana msamiati huu utumike nchi nzima. Hii mambo ya kuitana shemeji wanaume ni kama haijakaa sawa hivi.
Hio si sawa kabisa jamaa, mm hua namtaja jamaa jina lake!! Mambo ya shemeji hakuna hioEti sisi madume kabisa tuitane shemeji!?!?!!!! π€
Nadhani ni msamiati uliopo kwenye kamusi ya TUKI. Sina uhakika lakini, mwenye nayo atuangaliezie.Ikiwezekana msamiati huu utumike nchi nzima. Hii mambo ya kuitana shemeji wanaume ni kama haijakaa sawa hivi.
Uko sawa, neno hili nililijua miaka ya 80 ila nilidhani ni Kisambaa. Bibi yangu aliniuliza yuko wapi 'muamuo', ila maneno yote alitamka kwa Kisambaa.Kwa Kiswahili fasaha cha Pwani, neno MWAMU hutumika kumuita mume wa dada. Naye anakuita hivyo hivyo kaka wa mke wake. Hii inaepusha kumuita shemeji mwanaume mwenzako. Msamiati huu hutumika sana mikoa ya Pwani, Tanga baadhi ya maeneo, Lindi, Mtwara na Ruvuma hasa wilaya ya Tunduru.