Upembuzi yakinifu juu ya members wa jukwaa la mapenzi.

Umejiunga tarehe 9/10/2012 hiyo reseach yako umefanya muda gani mpaka utudhalilishe wana MMU?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Habar wakuu!
Nimekuwa nikifanya research yangu juu ya members wa hilii jukwaa na yafutayo ndio majibu ya research yangu.

Wengi ni vilazaful ambao ni wavivu wa kufikiri, walioshindwa shule na kama ni wanachuo wengi wao wamediscoo na wengi wana sup za kutosha huko vyuoni, wengi pia ni watoto yani below 18.

Ahsanten wakuu.

Makubwa, madogo yana nafuu!! Unaingia nyumbani kwa wenyewe,hujakaa hata vizuri unaanza kukosoa yaliyomo ndani??
Kodi la pango walipa weye,au wamjua anayelipa??
Kama hakukufai,pita zako uende
 
Mkuu Mtambuzi angalau wewe una muda wa kujibizana na huyu mtoto...lol
Mimi nilipoufungua tu uzi wake nikajua multiple IDs au kayumba's styles...
Na kweli, kwani hamjui mwendawazimu ili ajione ana akili timamu ni lazima awaone wengine ni hamnazo....
Huyu ni mwenyeji aliyeamua kufungua ID nyingine ili kutafuta kutambuliwa...........
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa mkuu.
Utakuta mtu anakuja na ID nyingine na kujiuliza flan uko wapi na kuanza kutajataja majini huku akiwa link.

We utakavyo kukandia. We subiri kesho siku ya chuo kwenye wireless internet watakavyokutukana.

Nimechekaje huku, kwahiyo na we una muunga mkono huyo jamaa? Mie simo
 
bora umeamua hivyo......hana maana kama kyupi tu.....cha kwanza kuvaliwa cha mwisho kuvuliwa.....mxiiuuuuu.......sijui katutokea wapi huyu......

Namshanga.
Tuamue kumchunia,maana huyu ni mwenyeji tu.
 
Habar wakuu!
Nimekuwa nikifanya research yangu juu ya members wa hilii jukwaa na yafutayo ndio majibu ya research yangu.

Wengi ni vilazaful ambao ni wavivu wa kufikiri, walioshindwa shule na kama ni wanachuo wengi wao wamediscoo na wengi wana sup za kutosha huko vyuoni, wengi pia ni watoto yani below 18.

Ahsanten wakuu.
promi demana research yako ni ya kibabaishaji kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Wengi maana yake nini? Toa takwimu zinazoeleweke, vinginevyo wewe ndio utafikiriwa kuwa kilaza. Hiyo research yako ilikuwa ya kisayansi au vipi? Ulitumia njia (methodology) gani? Usikurupuke hii jf, utaaibika.
 
hebu soma post namba moja ya hii thread!ukishamaliza niitie cacico, mwaJ Swts, bila kumsahau mwanasheria wa kampuni yetu shem wangu rutta

Nimeitika snowhite ila naona huyu jamaa ni wa kudharau tu. Anasema members wengi wa MMU ni watoto chini ya 18 kwani alikagua vyeti yao vya kuzaliwa? Kongosho hakukosea alipomwambia anatafuta atoke vipi.
 
Last edited by a moderator:
ye ndo kilaza [such a looser] jukwaa la MMu limeponya na linaendelea kuponyesha mahusiano mengi iwe ya ndoa au unaoelekea uchumba na mbinu nyingi za maisha
 
tatizo la watoto waliozaliwa wakati wazazi wao hawajabalehe na kuvunja ungo , mazao yake ndio hawa humu....kumbe chizi akipewa rungu inakuwa ni noumaaahhh eeehhhh
 
Habar wakuu!
Nimekuwa nikifanya research yangu juu ya members wa hilii jukwaa na yafutayo ndio majibu ya research yangu.

Wengi ni vilazaful ambao ni wavivu wa kufikiri, walioshindwa shule na kama ni wanachuo wengi wao wamediscoo na wengi wana sup za kutosha huko vyuoni, wengi pia ni watoto yani below 18.

Ahsanten wakuu.

Sawa mama,tumekuelewa lakini kama wewe ni mtu mzima,tena nadhani utakuwa mke wa mtu.Je huku umefuata nini?
 
Habar wakuu!
Nimekuwa nikifanya research yangu juu ya members wa hilii jukwaa na yafutayo ndio majibu ya research yangu.

Wengi ni vilazaful ambao ni wavivu wa kufikiri, walioshindwa shule na kama ni wanachuo wengi wao wamediscoo na wengi wana sup za kutosha huko vyuoni, wengi pia ni watoto yani below 18.

Ahsanten wakuu.

Ww ndiyo kilaza,umeungaunga result sleep 3 then unajiona una akili,kazi kuchunguza ya watu fanya yako limbukeni msumbufu.
 
Back
Top Bottom