Upembuzi yakinifu juu ya members wa jukwaa la mapenzi.

promi demana

JF-Expert Member
Oct 9, 2012
309
82
Habar wakuu!
Nimekuwa nikifanya research yangu juu ya members wa hilii jukwaa na yafutayo ndio majibu ya research yangu.

Wengi ni vilazaful ambao ni wavivu wa kufikiri, walioshindwa shule na kama ni wanachuo wengi wao wamediscoo na wengi wana sup za kutosha huko vyuoni, wengi pia ni watoto yani below 18.

Ahsanten wakuu.
 
We hata miaka 15 hujafika angalia unavyo andika kwanza, kale ubwabwa dogo :biggrin:
 
kwan kuna jukwaa la mapenzi? Watoto kwa kutafuta umaarufu cku hz, huu ugonjwa wa wema unaadhir wengi nowdays!
 
Join Date : 9th October 2012
Posts : 98
Rep Power : 320
Likes Received26
Likes Given0




wewe ndio kilaza a.k.a mburula umejiunga 09/10/2012,
 
I will love MMU until the day Tom catches Jerry!..kalagabaho!!!

yani mwanzo mwisho mpka siku ugali upikwe kwa siagi mi ndo ntaiacha MMU,watu tuna madarasa,tuna makanisa humu,ndoa zinaponea MMU ye atuletee ujuha wake hapa!kwanza hebu tuachane nae The Boss, Kongosho, belind jacob hebu tuishie zetu!watu wanatusubiri kule kweny masredi yetu hii TUPA KULE!
 
Last edited by a moderator:
hajui watu tuna watoto wanaomzidi umri hapa!mtiti wangu si unaujua lakini aulize mwenzie kule chit chat alivolikorogaakalinywa bila sukari!ah asituharibie moods zetu bure!

Post ganiiii? NIMEPITWAAAA! Embu nikimbie fastaaaa!!!

Kuhusu huyu kiumbe asiejielewa HE IS NOT EVEN WORTH OF MY COMMENT
 
Habar wakuu!
Nimekuwa nikifanya research yangu juu ya members wa hilii jukwaa na yafutayo ndio majibu ya research yangu.

Wengi ni vilazaful ambao ni wavivu wa kufikiri, walioshindwa shule na kama ni wanachuo wengi wao wamediscoo na wengi wana sup za kutosha huko vyuoni, wengi pia ni watoto yani below 18.

Ahsanten wakuu.

and after your 'research' what do you hope to achieve? Damn fool. Are you hoping to be noticed? Tuko bize sana, jaribu tena. Dumb ass.
 
Kweli kabisa mkuu.
Utakuta mtu anakuja na ID nyingine na kujiuliza flan uko wapi na kuanza kutajataja majini huku akiwa link.

We utakavyo kukandia. We subiri kesho siku ya chuo kwenye wireless internet watakavyokutukana.
 
Back
Top Bottom