Upembuzi yakinifu juu ya members wa jukwaa la mapenzi.

Habar wakuu!
Nimekuwa nikifanya research yangu juu ya members wa hilii jukwaa na yafutayo ndio majibu ya research yangu.

Wengi ni vilazaful ambao ni wavivu wa kufikiri, walioshindwa shule na kama ni wanachuo wengi wao wamediscoo na wengi wana sup za kutosha huko vyuoni, wengi pia ni watoto yani below 18.

naotea huyu kama si kaka ritz1 ni comrade zomba

Ahsanten wakuu.

kwa analysis yako utakua bado uko shule
 
Habar wakuu!
Nimekuwa nikifanya research yangu juu ya members wa hilii jukwaa na yafutayo ndio majibu ya research yangu.

Wengi ni vilazaful ambao ni wavivu wa kufikiri, walioshindwa shule na kama ni wanachuo wengi wao wamediscoo na wengi wana sup za kutosha huko vyuoni, wengi pia ni watoto yani below 18.

Ahsanten wakuu.

Huu "upembuzi yakinifu" hauna tofauti na zile tafiti za kifo cha Mwangosi.
Either umeingia na ID mpya nor member mpya, kajipange upya.
 
habar wakuu!
Nimekuwa nikifanya research yangu juu ya members wa hilii jukwaa na yafutayo ndio majibu ya research yangu.

Wengi ni vilazaful ambao ni wavivu wa kufikiri, walioshindwa shule na kama ni wanachuo wengi wao wamediscoo na wengi wana sup za kutosha huko vyuoni, wengi pia ni watoto yani below 18.

Ahsanten wakuu.

hii hainihusu,,,...nitakuwa kwa wale wachache. Kiukweli sijaupenda huu uzi
 
hii research hii, haiko ni irrelevant.......
umefanya research kweli hata me nimeona, kwani hata maana ya utafiti hujui,

WRONG CONCLUSION..........
 
Join Date : 9th October 2012
Posts : 98
Rep Power : 320
Likes Received26
Likes Given0

wewe ndio kilaza a.k.a mburula umejiunga 09/10/2012,

yani juzi juzi tu sasa anaelewa nini duh mi jitu mingine bana kana unaelimu gani mpaka useme maneno kama hayo mmh
apo ume mistake ahse.
 
tena wewe ndio likilaza mkubwa,reseach gani hiyo huna hata wiki JF?bora hiyo research angefanya Preta,Kaka Jmbazi,Mtambuzi,Madame B,Belinda,the Boss n.k!
 
Huyu anaonyesha kaleta habari zake za kijinga watu hawajakoment kwa sababu hazina mashiko ndio maana kaona atutusi jinga kweli wewe umekuja juzi afu unataka ulete thread zako za kitoto watu wajibu watu wanajibu vitu vya maana kaoge ukalale
 
mods mpooooo?naombeni mnipe dk 10 za freestyle nikatukaneeee haka kajamaaa mpaka hasira zangu zirudi 0!nasubiria majibu ya ombi langu!mods please respond asap
 
Habar wakuu!
Nimekuwa nikifanya research yangu juu ya members wa hilii jukwaa na yafutayo ndio majibu ya research yangu.

Wengi ni vilazaful ambao ni wavivu wa kufikiri, walioshindwa shule na kama ni wanachuo wengi wao wamediscoo na wengi wana sup za kutosha huko vyuoni, wengi pia ni watoto yani below 18.

Ahsanten wakuu.

kijana samahani naomba nikuulize,makalio yako yapo kichwani au ubongo wako upo makalioni?
 
research yako haijajitosheleza maana unatumia neno kama, inamaana huna uhakika, pili hujatoa ufafanuzi zaidi kwamba wengi wao ni wanafunzi, below 18 or vilaza? kundi lipi ni wengi zaidi, haiwezekani wote wakawa na size sawa. wewe unaongoza kwa ukilaza maana sidhani kama unajua hata maana ya research.
 
Wewe usiyekilaza na hukudisco wala huna sup mbona hujatoa matokeo ya research yako ......wewe unaonekana mtoto wa shule ya msingi kwa research yako isiyo nakichwa wala miguu
 
Habar wakuu!
Nimekuwa nikifanya research yangu juu ya members wa hilii jukwaa na yafutayo ndio majibu ya research yangu.

Wengi ni vilazaful ambao ni wavivu wa kufikiri, walioshindwa shule na kama ni wanachuo wengi wao wamediscoo na wengi wana sup za kutosha huko vyuoni, wengi pia ni watoto yani below 18.

Ahsanten wakuu.

Na wewe upo humu humu!?
We ni kilaza,umeshindwa shule,mvivu wa kufikiri,umediscon,una sup za kutosha au ni-18.
Halafu hakuna mkuu wako hapa."CHIDHI"
 
Habar wakuu!
Nimekuwa nikifanya research yangu juu ya members wa hilii jukwaa na yafutayo ndio majibu ya research yangu.

Wengi ni vilazaful ambao ni wavivu wa kufikiri, walioshindwa shule na kama ni wanachuo wengi wao wamediscoo na wengi wana sup za kutosha huko vyuoni, wengi pia ni watoto yani below 18.

Ahsanten wakuu.

:A S 465:Mleta mada kuna kona za meza za mzunguko za wenyewe si za kuzigusa ovyo ovyo kama ulizoea kuingia ndani ya meza ya makachero wa polisi ujue meza ya mzunguko ya makachero wa umoja wa wanawake tofauti. Sababu za kuwa na ruhusa pekee ndio hizo, kama huridhiki basi omba wakuondoe usiwe na access ya huko kwa wenye ukumbi wao.:A S 465:
 
Back
Top Bottom