Updates rwanda vs taifa stars

duh!huo ubingwa utetezi wenyewe mi naona ndo kama 2taupoteza mapema 2cpo kuwa makini kwa mechi zilizobaki.
 
Hapo hakuna cha kushangaza maana wanamichezo wetu wanajifunza usanii kutoka kwa viongozi wetu.
 
lakini tumeucheza sema goli letu limekataliwa...hongera makocha na wachezaji mechi ijayo mjitahidi zaidi..
 
Wakuu hata mwaka jana tulifungwa hivihivi. Lakini mimi kinachoniumiza ni jinsi traffic wanavyosababisha foleni mjini eti kili star wanapita. sasa hivi dar nzima foleni. halafu julio asipo acha usimba na uyanga timu haitafika kokote. leo wangeshinda ungesikia julio anasema eti ni zawadi ya kikwete.ananiudhi. mia
 
No creativity no vision from stars! Goli la pili Nurdin Bakari Fyongo tupu
 
wasithuutu kuleta mechi miaka hamsini tusije pata aibu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom