Updates rwanda vs taifa stars

Kwa kifupi nimeamini ile timu za taifa zilizokuwa azipewi hela ni bora kuliko hawa wakina diamond kila siku dola wanaishia kunywa na kulala na malaya shenzi wakubwa kama wanaweza tunaomba wakitoka wapelekwe luugalo wakafanyishwe kazi naona bado dk 2 mpira aftaimu
 
Pdidy, ze way unavyo ripoti ni dhairi kabisa kikosi cha Julio hakina kitu: sijajua kikosi uwanjani kikoje na pale bench kuna nani pengine niwasiliane na Julio ni m'force afanye mabadiliko ya akili ili dk 45 zijazo kieleweke.
 
kuna msafara umenipita hapa waterfront, nahisi mgeni rasmi uvimilivu umemshinda kaamua kula kona. mia
 
Pambafu kabisa huyu refa yaani anamaliza mpira wakati jamaa keshaipangua ngome yote ya kilimanjaro afu kabaki kumchambua tu kaseja. Upumbafu kilimanjaro kutegemea kubebwa na marefa
 
Ndo maana cjajisumbua kwenda kuangalia u2mbo huo..ngoja nimsubiri Vnp
 
Pambafu kabisa huyu refa yaani anamaliza mpira wakati jamaa keshaipangua ngome yote ya kilimanjaro afu kabaki kumchambua tu kaseja. Upumbafu kilimanjaro kutegemea kubebwa na marefa

Hata mm nimeiona hiyo mkuu,hapo vijana wa Julio wamebebwa kama siyo kupakatwa!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom