Updates rwanda vs taifa stars

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,419
21,243
Pamoja na kusema sikio la kufa alisikii dawa leo tumerudi tena kuangalia timu yetu ya taifa ikijaribu kuwaondoa majirani zetu stay tune
 
Pamoja na kusema sikio la kufa alisikii dawa leo tumerudi tena kuangalia timu yetu ya taifa ikijaribu kuwaondoa majirani zetu stay tune

Na cjui kama tutatoka kweli, Na ijapokuwa mcheza kwao hu2nzwa lakini nina hofu na Kilimanjaro Star.!
 
wakuu timu ndio zinaingia uwanjani saaasa naona wanaingia na baaby salaleeeeeeee salale saalaleeeeee kuna jamaa anaonyesha nyoka hapa anawafwata wajeshi wa tarumbeta naona wanakimbia kweli nyoka hana adabu mapolisi nao wanaogopa nyoka
 
timu zinakaguliwa na mgeni rasmi guess naniiiiiiiii?????\
mzee wa uporonto
 
naona haruna niyonzima anaonyeshwa hapa kwenye tv watu wanasimama kushangiliaaaaaaaaaaa naona utanzania umewashinda kabisa
 
wimbo wa taifa wa tanzania sasa unapigwa naona watu wamesimama wakitukumbusha shule ya msingi sijui jamhuri ata lijua hili
vituko kuna wachezaji watatu wa taifa yaani wanaonyeshwa awajui hata kuimba wameinamisha vichwa loh mnataka katiba mpya hata wimbo wa taifa amumuuujui
 
Wakuu naona kweli watanzania wamemkubali niyonzima yaani majina ya wachezaji wanatjwa ya rwanda ilipofika namba nane haruuunaaaaaaaaa watuuuuuuuu eeeeeeehhhhhhhhhhhhhhhhhh na makofi niyo nziiiiiii maaaaaaaaaaaaaaaaa watu haaaaaaaaaaaaaaaaaaa katumaliza leo kwenu watanzania maombi yenu ndio mhi,mili wa mechi hii timu zimeshajipanga na mpiraaaaaaaa umeaaaanzaaaaaaaaaaa
 
mkuu 2naomba vikosi

mkuu kocha ni julio jamhuri wa kileo golikipa ni kaseja kuna gaudence mwaistool kuna ngasaa/nizar na wengineo rwanda yuko haruna wengine subiri aftaimu
 
Mkuu namwona samata hapa anashambulia kama hana akili nzuri nahisi jua la bongo linamtia hamu ya mchezo
 
Mwaistool mpwa
ooooooooooohhhhhhhhhhhh naona kili wanakoswa koswa goli hapa na mpira ni kona
 
Biera nahisi unaandika stool ni nini
aya
gaudence mwaikimba mpwa
 
Wanasomana mpwa kama wamekunywa vaistroooooooooo ngoja tusubiri ila kuna dogo huyu niyonzima anazunguka uwanjani kama ana mapafu ya mbwa anatutisha sana
 
Tz wanachza mpira mzuri sana sana tatizo wavivu wanafika wkati awaendi na kasi ya mpira
 
Ngasaa anataka kumvalisha kanzu mnyaru anakataa hapa inakuwa kona
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom