Huyu Mnyika ni chiiz Kabisa, kwanini amekubali kura zihesabiwe upya? je huko yalikolala masanduku anapajua? Na ana imani gani?, hii inanikumbusha, AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA.
you are very smart me i like you so muchUswe, msiishie kwenye kukagua magari tu, kama hali mbaya kura zinaweza kubebwa kwa njia yoyote, siyo lazima kwenye mabox. muwe mnakagua na mifuko ya watu, kofia, nk nk. hakuna kuamini mtu
jamani ccm wanafanya nini huko loyola tutaarifuni tuje tuongeze nguvu mpaka kieleweke
uko wapi chimu, kama vipi we ibuka, nafikiri walikua wanavuta muda ili wawalete hawa jamaa afu watangaze matokeo yao