Elections 2010 Updates kutoka Royola every 10 minutes

Huyu Mnyika ni chiiz Kabisa, kwanini amekubali kura zihesabiwe upya? je huko yalikolala masanduku anapajua? Na ana imani gani?, hii inanikumbusha, AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA.
 
Huyu Mnyika ni chiiz Kabisa, kwanini amekubali kura zihesabiwe upya? je huko yalikolala masanduku anapajua? Na ana imani gani?, hii inanikumbusha, AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA.

Acha Ufala wewe nani kakwambia wanahesabu upya? Kitu wanachofanya wanajumlisha Upya
 
Land cruisers sita pamoja na gari la maji ya kuwasha limewasili loyola sekondari kushughulikia watanzania
 
jamani ccm wanafanya nini huko loyola tutaarifuni tuje tuongeze nguvu mpaka kieleweke mnyika ameshinda thats all.
 
hivi sasa umeme umekatika sijui kama kuna salama huko maboksi yatayeyuka na kuletwa ya ccm, nyie ngojeni tu
 
Uswe, msiishie kwenye kukagua magari tu, kama hali mbaya kura zinaweza kubebwa kwa njia yoyote, siyo lazima kwenye mabox. muwe mnakagua na mifuko ya watu, kofia, nk nk. hakuna kuamini mtu
you are very smart me i like you so much
 
lakini mwanyika aliyekutuma kukubari kurudia kujumlisha nani?ukuona walikuwa wakutime,kura zako hata Steeve Wander ameona umeshinda
 
jamani ccm wanafanya nini huko loyola tutaarifuni tuje tuongeze nguvu mpaka kieleweke

uko wapi chimu, kama vipi we ibuka, nafikiri walikua wanavuta muda ili wawalete hawa jamaa afu watangaze matokeo yao
 
Lawama zote nawapa mawakala wa kura, kwani wameiweka ubungo into ramsom kwa madai yao... wamesahau kwamba hiyo pesa ni yao na wangepewa hata kwa harambee... sasa inacost haki ya maelfu ya watu wa ubungo
 
Mungu wetu hataacha kura zetu ziibiwe na kuruhusu roho zetu zife.

Mnyika mungu yupo na wewe
 
Basi kama ni hivyo nchi haitatawalika. Huwezi ingia ikulu kwa damu ukasalimika.
 
uko wapi chimu, kama vipi we ibuka, nafikiri walikua wanavuta muda ili wawalete hawa jamaa afu watangaze matokeo yao

mkuu nipo mitaa ya legho na jana nimempigia mnyika pale kituo cha ubungo nhc sasa ccm wasituletee ujinga ngoja niwataarifu makamanda tuje tucheki mwenendo
 
fanyeni fasta chimu, hawa jamaa wanatutega, kibidamumtu unachoka, hapa mi nshaanza kuwaza ratiba ya job kesho, na hiki ndo sisiem wanachotaka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom